Mondi platinumuz anaelekea kuwa level ya Michael Jackson

Diamond awards and nominations
Awards and nominations
Award
Wins
Nominations
HiPipo Music Awards
1
0
Top Ten Tube Music Awards
1
0
The Future Africa Awards
1
0
Nzumari Awards
1
0
MTV Europe Music Awards
1
1
MTV Africa Music Awards
1
5
BET Awards
0
1
African Muzik Magazine Awards
1
4
Tanzania Music Awards
17
11
IRAWMA Awards
1
1
AFRIMMA Awards
1
2
HIRONIMO MHAPA Awards
0
1
Totals
Awards won
22
Nominations
28
 

Endelea basi..
Maana bado hujaweka ya kumgusa MJ

Tumshangilie kwa hayo.. hongera kwake .. bila kumfananisha na MJ

MJ ni levo ya mbali sana kamuacha mbaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii maili milioni na..
 
MIMI NASEMA MICHAEL JACKSON WETU DIAMOND PLATINUMZ ATAFIKA HUKO
 
Umelipwa sh ngapi ili kuja kumpamba huyu na mimi niende kulipwa nianze kumpamba?
 
hivi kua shabiki wa Diamond tu na akili zinaruka, kama wale jamaa wanaohamia kile chama cha uoto wa asili?!
 
We uko mbege au chimpumu

Kwa iyo vibanda vyote vya kuhamisha nyimbo bongo vikipiga track ya mond basi keshamfikia wako jako wa dunia nzima
 
Hapa Tz/EA nani MJ? ambae unamuongelea humu ...
hii kanyaga hata kwa ngoma ya BEST NASSO haigusi,. ni mahaba tu na umaarufu wa Mond ila ngoma hii ni ziiii kabisa.
 
Endelea basi..
Maana bado hujaweka ya kumgusa MJ

Tumshangilie kwa hayo.. hongera kwake .. bila kumfananisha na MJ

MJ ni levo ya mbali sana kamuacha mbaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii maili milioni na..
Mondi hawezi kumfikia MJ hata kidogo ila kwa level yake amepambana sana hilo lazima tumpe sifa zake anazostahili.
 
Nonsense
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 nilidhani kwakuimba.
 
Ndoto ya asubuhi hii!! Yale makelele ya midundo ya studio anayoyafanya Diamond unayalinganisha na sauti ya Michael Jackson yenye purity 100%?

Purity ya sauti ya MJ ni kama ala za muziki wa mbinguni! You can even feel it deep down in your soul!

Hayo makelele ya Diamond ya "tetema" ni ukichaa mtupu! He is doing business not music!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…