Mondi platinumuz anaelekea kuwa level ya Michael Jackson

we jamaa hukuelewa thread, "anaelekea kuwa",, na sio eti ndo keshakua
Anaelekea kwa kipi?..aelekee kuwa wizkid kwanza akipita aelekee kwa chrissbrown,neyo,usher,john legend,r.kelly yan apite kwa wasanii kama 80 hiv ndo amfikie MJ na kila msanii inaeza mgharimu miaka 6 had 7 so am sure kabla hajafika level ya MJ atakuwa kashakufa hahahahaaaaa
 
Hata kiba yupo ila tu hapendi show off!
Mwacheni kidume...pambaneni na upuuzi wenu mloandika hapa had wananchi waelewe unataka uwatoe watu kwenye mjadala hatutokii haya mtueleze kisa cha kumfananisha MJ na mambo ya kijinga
 
Nilibahatika kumuona karibu kama hatua tano alivyokuja Bongo 90"s..ukimtazama jamaa alikuwa anatisha (sio ubaya)bali jamaa alikuwa na power fulani watu wanazimia..alafu ananukia kama jini
Acha bwanaaa...we harufu ya jini umeijueje[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kaka mshanaaaaa....
 
Hahaha jinga sana wewe
 
Hapana mkuu. Nilikuwa napima upepo....
Upepo wapi ulijua mjadala utakuwa mwepes kama mnavyomshindanishaga na wasanii wa bongo UKASHANGAA HATA ULOWATUMAINI WAMEKUGEUKA hahahahahahaaaaa HIVI HUJALAZWA KWELI KWA KOMENT ZA WANANZENGO???...mambo yamekuwa magumu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji11][emoji11][emoji6] pole kaka.
 
Nina 40+. Afu si mpenzi wa Mondi kama unavyofikiri.
Asa uliwashwa nn mzee wangu jamani ona sasa watoto wanavyokuchambua babu yao bila huruma...afu nyie wazee wa mjini matatizo mengine mnajitakiaga tu hahahahahahaaaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16]
 
Itakuwa MJ wa tandale bila shaka
 
Dah we jamaa leo umenifurahisha hahahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…