Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,577
- Thread starter
-
- #341
Haya weeMimi ndio mfalme...
Yeye ni malkia..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wanaugulia kumtima tuBora wewe husna unajisemea wazi wazi waego wengine mhmmhmhmhmhm ..........
Wacha nifunge domo langu
Love you moreOnly three strong words to you:
I love you
Haya shemejiHaya wee
Leo nawahi home mama..!Love you more
Wahi tuu, hili baridi sio la mchezo dadie....Leo nawahi home mama..!
Nakohoa kwa haya ninayoyaona hapa nduguunakohoa au unacheka?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Umenirusha roho sana Husna
Mm nipo sema shughuli zinabana tu..
Hua nikija naishia kule Makapuku forum..
That ma home.
Bado NAKUPENDA HUSNA wanje.
Tulia kiongoziii kama show ndo kwanza inaaanza tuko live band tunaanza kwa kupiga copy [emoji12] [emoji12] [emoji12]nimjuayeee mimi au mwinginee?
[emoji1] [emoji1] [emoji1]acha uchochezi
Eti dada kwani we una mtu humu?Duuuh!! Ndio ulisusa mazima!! Wenzenu tunadenguaga kidogo huku kamoyo kanadunda "sijui ataghairi" kwahiyo muwage na subra kidogo!!
Mkuu,ukhuty ni jimbo huru?Umenirusha roho sana Husna
Mm nipo sema shughuli zinabana tu..
Hua nikija naishia kule Makapuku forum..
That ma home.
Bado NAKUPENDA HUSNA wanje.
Kibumbu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Akitoka mondray sijui ataandikiwa nani!!!
Mie mzima mpenzi.
Damn!! Hili jina lako hapana jamani, hebu libadili.Kibumbu
mahondaw wangu.. Watu wanabebana for real ni wale wachache tu wenye roho za kwanini ndiyo hujaribu kuvuruga mapenzi ya watu...Mhmmhmhmhmhmhmhmhmhmhnhnhmhmh!!
Smart911 love kiini macho au ndo macho yangu????
Khakhaakhaa this is jf bana... Tehtehteh Kila lakheri na majibu
Sawa mama nakuja na ka ID kapyaDamn!! Hili jina lako hapana jamani, hebu libadili.
Sawa mkuu tumshukuru muumba kwa uhai wetuTunapishana tu kaka
Miss wewe mnooo