Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
AminaSawa mkuu tumshukuru muumba kwa uhai wetu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AminaSawa mkuu tumshukuru muumba kwa uhai wetu
Karibu kule uliko tuacha maana tumekumic sanaAmina
Nitakuja ndugu, nipo nipo humu kwanzaKaribu kule uliko tuacha maana tumekumic sana
Poa mkuu karibu kwa Mara nyingineNitakuja ndugu, nipo nipo humu kwanza
Acha watu wapendane banah, upendo huleta amani ya moyo, husna kashajua thamani ya kupendwa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Heheee ulimiss mtongozo[emoji2]
Kanyagia hapo hapo usimuache akupendae ray atapata usingizi sasaUko wapi mkuu ?!
Mara ya mwisho kuteta nawe uliniambia unanipenda kabla sijakujibu ukawa "jiiii.."
Rudi nimekukumbuka sana[emoji17] [emoji17] [emoji17]
Wajanja wamesha changamkia fursaKoh koh
Hahahahaha shunie wangu hujambo,mimi natoa tu amcho [emoji102] kijana wangu hapa lazima achague jema ni lipiYangu macho vale
Lee tulishampa jiko huyu kijana kule kwenye forum yetu sasa tutaona hapa msimamo wakemkuuu ni wewe au majina yamefanana?
Teh teh teh yesu alikanwa hivi hivi kwajili ya tamaa za wanadamu sasa nataka kuona msimamo upo wapi hapa kwa huyuNimeona mama achana na kuandikiwa thread ujue lazima ukanwe
Nakupenda V money wangu..Hebu rudia tena ulivomwambia Husna?
Aaaaaa mwehu wewe...Lee tulishampa jiko huyu kijana kule kwenye forum yetu sasa tutaona hapa msimamo wake
Tatizo pesa zinakutoa roho,ila naamini ray hatayumba na msimamo wakeNakohoa kwa haya ninayoyaona hapa ndugu
lee empireHahahahaha shunie wangu hujambo,mimi natoa tu amcho [emoji102] kijana wangu hapa lazima achague jema ni lipi
Mkuu kupenda garama naona husna kajua kuwa ni garama kaamua kurudiAcha watu wapendane banah, upendo huleta amani ya moyo, husna kashajua thamani ya kupendwa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mwehu tena, unatokwa povu la nini sasa.Aaaaaa mwehu wewe...
Tatizo kampenda mtu ambaye akili zake dakika zinabadilishwa kutokana na upepo unapo vuma,kashaingia kingiMkuu kupenda garama naona husna kajua kuwa ni garama kaamua kurudi
Aaaah kumbee mmevamiwa kwa bomalee empire
Kama hii kijana ipo vamia kwa boma yako..
Jiangalie halafu usije nitafutia banAaaaaa mwehu wewe...