Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,577
- Thread starter
- #21
Kesi ipi tena?Anakesi ya kujibu huyo[emoji17]
Nipe mchapo shoga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kesi ipi tena?Anakesi ya kujibu huyo[emoji17]
Ndomana nikakwambia akija uniite[emoji108]Kesi ipi tena?
Nipe mchapo shoga
Kwahiyo still uko nae?Huu uzi umenikumbusha kitu fulani.
Kuna msichana mmoja tulikuwa marafiki sana, alionesha dalili zote za kunipenda nami nikasema lazima nijitose.
Siku moja nilimtokea nikamchana live, hee! mara nikachezea cha mbavu....''nina BF na nampenda sana''.
Mimi kusikia vile mood yote ikakata, kwa kuwa tayari nilishampenda ilinichukuwa muda hadi kumsahau.
Zilipita siku nne bila kumsemesha chochote, kilichofuata alinichukia sana. Hadi ikafika sehemu tunapishana bila kusalimiana.
Licha ya chuki, nyuma ya pazia yule msichana alikuwa ananifuatilia, mimi nilijizuia sana nisimfikirie maana tayari alishaniambia ana BF anayempenda.
Siku moja akanitumia sms ''kama huna moyo wa kumpenda mwanamke bora usimtongoze''.....Baada ya mawasiliano na mazungumzo ya kutosha ndipo nilipogundua kumbe naye alikuwa ananipenda ila hakutaka kukubali mapema.
Kosa langu nilishindwa ku-decode body language yake ambayo ilikuwa positive........Yaliyoendelea baada ya pale ni mengi ila siku hizi ukiambiwa utu uzima dawa ujue ni dawa kweli kweli, kosa ninalofanya sasa hivi ni kutokutongoza tu.
Ninaposema mood ilikata ni ilikata kweli kweli.Kwahiyo still uko nae?
Duuuh!! Ndio ulisusa mazima!! Wenzenu tunadenguaga kidogo huku kamoyo kanadunda "sijui ataghairi" kwahiyo muwage na subra kidogo!!Ninaposema mood ilikata ni ilikata kweli kweli.
Ingawa tulikuja kumalizana tofauti, hisia zilishahama kwake so hata kama ningeendelea kuwa naye asingekuwa chochote kwangu zaidi ya mdoli wa ngono........Sorry to say that but I saved her heart.
Anapenda kuandikia wanaume thread mzima lknHusna kwahiyo ndio kusema kwa kaka yangu haurudi tena?
Yangu macho valeAnakesi ya kujibu huyo[emoji17]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Heheee ulimiss mtongozo[emoji2]
[emoji23] ni kweli kabisaaDuuuh!! Ndio ulisusa mazima!! Wenzenu tunadenguaga kidogo huku kamoyo kanadunda "sijui atahairi" kwahiyo muwage na subra kidogo!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ndio basi tenaaaHusna kwahiyo ndio kusema kwa kaka yangu haurudi tena?
VP?
Ukiskia umbea ndio huo sasaAnapenda kuandikia wanaume thread mzima lkn
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Alikuwa hataki kumbe anataka
NdioooooUkiskia umbea ndio huo sasa
Poa
Shunie si umeona lakini eehYangu macho vale
mkuuu ni wewe au majina yamefanana?Umenirusha roho sana Husna
Mm nipo sema shughuli zinabana tu..
Hua nikija naishia kule Makapuku forum..
That ma home.
Bado NAKUPENDA HUSNA wanje.
Nimeona mama achana na kuandikiwa thread ujue lazima ukanweShunie si umeona lakini eeh