Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Juzi niliwapatanisha vale na mondraymmmmh kwa hiyo wewe unahusikajee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Juzi niliwapatanisha vale na mondraymmmmh kwa hiyo wewe unahusikajee
wewe ndo vale ?na vale je
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Shougaa
Hongera kwa kupata penzi jipya
Aya ngangania kwa mondrayHapo nadhani mwenye ni ray mwenyewe
Ye km ana mtu kwann aje kwangu??!!
MONDRAY why???!!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na hakuna kuomba msamaha.
nimekumisss sana tangu enzii zile za ndiziiiiHahaha
Sheeeemeji, miss wewe mnooo
hao ndio wanaumeValeeeee
Umeona wanaume lakini....
Hahahhhh St TeresaHahaha
Wa St Teresa alimshinda mwaya...
Katwaa kitu kingine
mapenziii kuumia wasipotuliaawaaacheeJuzi niliwapatanisha vale na mondray
Akabakia kuita sawa mkuuWeeeh st teresa alimpa moja cha kiinglish akawa kadogo punje ya ulezi imesingiziwa.
Nipo roho ya Shunie...nimekumisss sana tangu enzii zile za ndiziiii
Subiri mond aje umuulize hilo swalina vale je
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ww ni mwehunimekumisss sana tangu enzii zile za ndiziiii
Mmhmapenziii kuumia wasipotuliaawaaachee
NgachokaaDada kazi yetu sisi kusoma halaf badae tunatoa pole kama kawaida yetu badala ya baby inapogeuka mkuu
[emoji15]Juzi niliwapatanisha vale na mondray
Swali zuri mkuuwewe ndo vale ?
umenikumbushaa solving the prove ...Dada kazi yetu sisi kusoma halaf badae tunatoa pole kama kawaida yetu badala ya baby inapogeuka mkuu
Kile kiinglishi sio cha nchi hii...Weeeh st teresa alimpa moja cha kiinglish akawa kadogo punje ya ulezi imesingiziwa.
hapana usichoke tuendelee kusomaNgachokaa
Kweli nimechoka akili