Mehek
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 7,473
- 10,426
Oyaa ujambo[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oyaa ujambo[emoji15] [emoji15] [emoji15]
mdogo wangu Mondray
mbona kama unachanganya script humu !?[emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yaani mpaka anasahau wapi aliwekeza
Umepitwa na wakatiKwanini.
[emoji15] [emoji87] acha urongooHaha... kaniacha mkuu sina pesa na sio HB.
Sitaki maswaliKisa?
Abeee..mkuuChakorii
Mi mzm[emoji4][emoji15] [emoji15] [emoji15]
Sijambo habari ya wewe
Daaaahmkuuu ni wewe au majina yamefanana?
I miss you badlyMondray A.K.A Tajiri wa wanawake JF!!!
Nikiwasoma nakumbuka mbali sana nilivyokua mjingaHhahahaa
Dude u still alive?[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
mdogo wangu nakuona katika ubora wako hahaha
Kitambo sana kiongoziHabari poti
Nikiwasoma nakumbuka mbali sana nilivyokua mjinga
Haya mambo haya 🙌Huu uzi umenikumbusha kitu fulani.
Kuna msichana mmoja tulikuwa marafiki sana, alionesha dalili zote za kunipenda nami nikasema lazima nijitose.
Siku moja nilimtokea nikamchana live, hee! mara nikachezea cha mbavu....''nina BF na nampenda sana''.
Mimi kusikia vile mood yote ikakata, kwa kuwa tayari nilishampenda ilinichukuwa muda hadi kumsahau.
Zilipita siku nne bila kumsemesha chochote, kilichofuata alinichukia sana. Hadi ikafika sehemu tunapishana bila kusalimiana.
Licha ya chuki, nyuma ya pazia yule msichana alikuwa ananifuatilia, mimi nilijizuia sana nisimfikirie maana tayari alishaniambia ana BF anayempenda.
Siku moja akanitumia sms ''kama huna moyo wa kumpenda mwanamke bora usimtongoze''.....Baada ya mawasiliano na mazungumzo ya kutosha ndipo nilipogundua kumbe naye alikuwa ananipenda ila hakutaka kukubali mapema.
Kosa langu nilishindwa ku-decode body language yake ambayo ilikuwa positive........Yaliyoendelea baada ya pale ni mengi ila siku hizi ukiambiwa utu uzima dawa ujue ni dawa kweli kweli, kosa ninalofanya sasa hivi ni kutokutongoza tu.