Nyendo
JF-Expert Member
- Jun 4, 2017
- 1,336
- 4,731
Leo mgombea urais kupitia chama cha Mapinduzi, Dkt. Magufuli yupo Arusha na Monduli akiendelea kunadi sera na ilani ya chama cha Mapinduzi kuomba ridhaa ya kuongoza Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa awamu ya pili.
===
===
DKT. MAGUFULI AMSIFIA DKT. SLAA KAMA MPINZANI ALIYEKUWA NA MASLAHI YA WATU
Mgombea Urais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM, Dkt. John Magufuli amesema, mpinzani mwenye uzalendo ni Dkt. Wilbroad Slaa
Amesema, Dkt. Willbroad Slaa alikuwa anajenga hoja zenye maslahi mapana kwa wananchi tangu mfumo wa vyama vingi uwekwe mwaka 1992
Amesema hayo alipokuwa katika mkutano wa Kampeni Karatu, Mkoani Arusha wakati akiendelea kunadi Sera za chama chake. Karatu ni mahali ambapo Dkt. Slaa anatokea
Aidha, kutokana na ubora wa Dkt. Slaa ambaye sasa ni balozi wa Tanzania nje ya nchi, Dkt. Magufuli amesema ilibidi ampe ubaozi wa nchi tisa za Ulaya na sio nchi moja kama Mabalozi wengine