Money and sex are two sides of the same coin

Money and sex are two sides of the same coin

Mapenzi sio pesa mapenzi ni upendo na kujali.. ila upendo na kujali unahitaji Pesa ili uweze kudumu na kukua kila siku (sio kwa ajili ya kuhonga).
Kama hakuna mwenye pesa kati ya watu wawili walio kwenye mahusiano i assure you huo uhusiano hautafika mbali..
Sadly Girls wanamahitaji mengi and it's your responsibility to help her.

Ka hmma pesa mtataka kwenda somewhere kufurahia mahusiano yenu then mtashindwa coz no money..utashindwa kumjali mpenzio hata kwa kumpigia simu kumjulia hali au text coz hauna pesa ya bando nk. Nk.

Mapenzi ni chakula pesa ni Chumvi, Chakula kitakua kitamu kama chumvi itakuwepo. Mapenzi yatakua na kuimarika kama pesa upo.
 
Imagine unahisia za dhati na mimi niliyoko kanda ya ziwa wewe upo northern ila huna hata nauli ya kunifuata au sina ya kukufuata. Huo uhusiano/husia utadumu muda gani
Mzee long distance haijawahi dumu nilifanya kila liwezekanalo lakini sikufanikiwa, wana waliniambia lakini nilikuwa mbishi niliweza kusustain kwa 1 year na miezi yake lakini baadaye nilishindwa kabisa.
 
[emoji102]
IMG-20191211-WA0001.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee long distance haijawahi dumu nilifanya kila liwezekanalo lakini sikufanikiwa, wana waliniambia lakini nilikuwa mbishi niliweza kusustain kwa 1 year na miezi yake lakini baadaye nilishindwa kabisa.
Hua hayadumu kabisa..labda uwe kila wiki mnakutana..la sivyo mtakua mnadanganyana..tena hiyo wiki tu wazee wa kula kimasihara lazima wapite nae
 
Back
Top Bottom