Money and sex are two sides of the same coin

Money and sex are two sides of the same coin

Mapenzi ya vijana wa chini ya miaka 45 ni hisia kwa wanawake (Pesa), wanaume (Mwanamke mwenye mvuto), ndo maana watu wanakulana na kupeana pesa tu.
Hivi unajua ni ngumu kula na kuliwa na mtu usiyempenda? Labda kwenu ME kwa sababu mnaongozwa na tamaa...me kama sina hisia na wewe nakwambia hizo cents zako hazitafua dafu
 
Hivi unajua ni ngumu kula na kuliwa na mtu usiyempenda? Labda kwenu ME kwa sababu mnaongozwa na tamaa...me kama sina hisia na wewe nakwambia hizo cents zako hazitafua dafu

Hivi unajua kuwa wanawake/wanaume wakati mwingine wanafanya mapenzi na watu wasio wapenda na wanafanya hivyo kupata kitu fulani, mfano wewe unahitaji pesa na kuna jamaa anakusumbua kukutongoza na anazo hautampa penzi? Au unahitaji huduma fulani na unaona kuna urasimu wa wewe hadi uipate na ukifikiria njia rahisi ni kutoa hongo la penzi hutotoa? Zamani nilifikiri wanaume ndo tuna tamaa nilichokuja kugundua ni kuwa wanawake nao wanatamaa, unakuta unafanya kazi au unaishi na binti jirani kumbe anakutamani kimapenzi.
 
Back
Top Bottom