roselina john
JF-Expert Member
- Aug 17, 2017
- 758
- 945
Mapenzi hisia kijana wacha ubishiMe... Kutoa hela
Ke.... Kutoa papuchi
Hayo ndomapenzi yakweli haswa
Sent using Jamii Forums mobile app
Imagine unahisia za dhati na mimi niliyoko kanda ya ziwa wewe upo northern ila huna hata nauli ya kunifuata au sina ya kukufuata. Huo uhusiano/husia utadumu muda ganiMapenzi hisia kijana wacha ubishi
Unafikaga hadi huku πMh!..
Mzee long distance haijawahi dumu nilifanya kila liwezekanalo lakini sikufanikiwa, wana waliniambia lakini nilikuwa mbishi niliweza kusustain kwa 1 year na miezi yake lakini baadaye nilishindwa kabisa.Imagine unahisia za dhati na mimi niliyoko kanda ya ziwa wewe upo northern ila huna hata nauli ya kunifuata au sina ya kukufuata. Huo uhusiano/husia utadumu muda gani
Hiyo nilugha yakujifariji tu, ukweli kilaktu nipesa.Mapenzi hisia kijana wacha ubishi
Hujui kwanini..Na kwanini tuwe mbali mbali hivyo?
Hua hayadumu kabisa..labda uwe kila wiki mnakutana..la sivyo mtakua mnadanganyana..tena hiyo wiki tu wazee wa kula kimasihara lazima wapite naeMzee long distance haijawahi dumu nilifanya kila liwezekanalo lakini sikufanikiwa, wana waliniambia lakini nilikuwa mbishi niliweza kusustain kwa 1 year na miezi yake lakini baadaye nilishindwa kabisa.
ππππππππ angalia usinyooke wewe tuHujui kwanini..
Ngoja nitengeneze mazingira u fall kwangu mpaka nirudi arusha utakua umenyooka..
Mapenzi hisia kijana wacha ubishi