Money Heist - Season 5 part 2

Money Heist - Season 5 part 2

renamaizo

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2014
Posts
2,134
Reaction score
3,064
Habar wadau

Money heist imetoka janq dea 3 sasa mwenye link naomba aweke nidownload nione profesq atqvyomalizana na captqin sagata

Tokyo dead
Helaink kaumia mguu
Atockholm upo adicted akijipiga madawa

Wale jamaa kule chin bado wqnayeyushq dhahabu na wameambiwa waendelee na kaz hata km Yeau atatokea pale

Profesa kapigwa risasi ya mguu nimemaikia akiongeq kuhusu atorm water sijui ndio gold watatoloshea huko

Ila nahis hata part 2 inaweza isimalize

Mwenye link tafadhal weka hapa iwe torrent iwe common download weka hapa
 
Inatoka leo kwenye saa tano hivi. (Saa tano ya asubuhi)
 
kweli watu mpo nyuma ya dunia bado,ina miezi miwili hyo tangu itoke na watu tulishaacha kuingalia baada ya kuona ni utopolo mtupu
 
mmekosa
Wewe ndio upo nyuma ya dunia maana hujui ata kama ile iliyotoka ilikuwa season 5 vol 1 Sasa ndio imetoka season 5 vol 2, na kuacha kwako kuitazama hakufanyi na wengine waache
vya kuangalia,inaonesha ni jinsi gan mlivo na uvivu wa kufikirisha akili zenu..izo movie tunawawekea watoto sasa iv
 
Mzigo mbona ushatoka umejaa tele huko Telegram...
 
mmekosa

vya kuangalia,inaonesha ni jinsi gan mlivo na uvivu wa kufikirisha akili zenu..izo movie tunawawekea watoto sasa iv
Umetoka kwenye kujitia ujuaji wa kusema ishatoka miezi kadhaa nyuma saiz umehamia kwenye uvivu wa kufikirisha akili zetu, Mkuu ukiona kitu hakijakuvutia ujue hakipo kwa ajili yako. Tafuta vilivo andaliwa kwa ajili yako, usi complicate maisha
 
nenda kajambe na watoto wenzio huko
Umetoka kwenye kujitia ujuaji wa kusema ishatoka miezi kadhaa nyuma saiz umehamia kwenye uvivu wa kufikirisha akili zetu, Mkuu ukiona kitu hakijakuvutia ujue hakipo kwa ajili yako. Tafuta vilivo andaliwa kwa ajili yako, usi
 
nenda kajambe na watoto wenzio huko
Kumbe watoto ndio waga wanajamba ila wakubwa hamjambi vizuri kujua, Nikushauri kitu tu Mkuu, punguza ujuaji usiokuwa nao maana mwisho wa ujuaji mwingi mwisho wake waga ni Ushamba, ndo kilichokutokea hapa umetoka kwenye hoja unaleta utoto

Watu wanatumia budget kubwa Sana kuandaa hizi series,wanatumia akili nyingi sana kuandaa hizi kazi,wanatumia muda mwingi sana kuandaa hizi kazi, hadi uone series inakuwa most streaming duniani inabidi uweke Heshima kwa waandaaji ata kama we hutoipenda maana ndo nature ya binadamu hatuwezi kupenda Kila kitu

Sasa huko duniani waipende movie na kufanya iwe mostly streaming na watched kwa almost past 2 years alafu we kiazi mmoja kutoka Buza uje kutupangia namna ya kutumia Mb zetu we una akili kweli? Kwahiyo we ndo unajua Sana movie nzuri kuliko wote duniani, siku ingine acha Shobo ukiona kitu hakikuvutii pita kimya kimya inatosha na sio unajipitisha na Khanga yako imelowana hapa
 
Nilikuwa nasubiri mzigo ukamilike woote ndio niangalie,
Hapa nasubiri boxing day ndio niucheki bila presha ya what is next
 
Back
Top Bottom