CONTROLA
JF-Expert Member
- Sep 15, 2019
- 7,001
- 23,449
Moja kati ya series bora sana kwangu, kama ni marks Naipa 9/10
Akili za Professor si rahisi kuzielewa haki tena,ili umuelewe yakubd uwe Pro Thinker
Lile li jamaa lina quality zote za kuitwa Faza House/Leader yanii Prof ni jitu 1 hivi (upstairs kumetulia)
ni movie ila Director wa hii movie nadhani na lenyewe ni li master mind sio kawaida,Movie inaisha haikuachi na Maswali.