Ww km ujui kingereza tulia kamchek Ong bak na jet limmekosa
vya kuangalia,inaonesha ni jinsi gan mlivo na uvivu wa kufikirisha akili zenu..izo movie tunawawekea watoto sasa iv
Big up men !!Moja kati ya series bora sana kwangu, kama ni marks Naipa 9/10
Akili za Professor si rahisi kuzielewa haki tena,ili umuelewe yakubd uwe Pro Thinker
Lile li jamaa lina quality zote za kuitwa Faza House/Leader yanii Prof ni jitu 1 hivi (upstairs kumetulia)
ni movie ila Director wa hii movie nadhani na lenyewe ni li master mind sio kawaida,Movie inaisha haikuachi na Maswali.
Ishatoka mjomba 1080p acha uogaNilikuwa nasubiri mzigo ukamilike woote ndio niangalie,
Hapa nasubiri boxing day ndio niucheki bila presha ya what is next
Io mtu lugha ilipita kushoto achana nae uyo sio kosa kosa ni la jet li na ong bakUmetoka kwenye kujitia ujuaji wa kusema ishatoka miezi kadhaa nyuma saiz umehamia kwenye uvivu wa kufikirisha akili zetu, Mkuu ukiona kitu hakijakuvutia ujue hakipo kwa ajili yako. Tafuta vilivo andaliwa kwa ajili yako, usi complicate maisha
Nimeshapakua mzigo wote upo stock,nimepanga siku special niucheck woteIshatoka mjomba 1080p acha uoga
Movie!?Moja kati ya series bora sana kwangu, kama ni marks Naipa 9/10
Akili za Professor si rahisi kuzielewa haki tena,ili umuelewe yakubd uwe Pro Thinker
Lile li jamaa lina quality zote za kuitwa Faza House/Leader yanii Prof ni jitu 1 hivi (upstairs kumetulia)
ni movie ila Director wa hii movie nadhani na lenyewe ni li master mind sio kawaida,Movie inaisha haikuachi na Maswali.
Exactly, Yaanii part 2 is [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91].Moja kati ya series bora sana kwangu, kama ni marks Naipa 9/10
Akili za Professor si rahisi kuzielewa haki tena,ili umuelewe yakubd uwe Pro Thinker
Lile li jamaa lina quality zote za kuitwa Faza House/Leader yanii Prof ni jitu 1 hivi (upstairs kumetulia)
ni movie ila Director wa hii movie nadhani na lenyewe ni li master mind sio kawaida,Movie inaisha haikuachi na Maswali.
Ulivyojibu kwa kujiamini while wewe ndio huko nyuma kabisa na dunia!kweli watu mpo nyuma ya dunia bado,ina miezi miwili hyo tangu itoke na watu tulishaacha kuingalia baada ya kuona ni utopolo mtupu
Mimi mbona nimeishaangalia sizoni zote!Inatoka leo kwenye saa tano hivi. (Saa tano ya asubuhi)