Money laundering

Yaan account yako mwisho kabisa ni milioni 3, halafu ghafla unaweka milioni 100?:nono:
 
usipeleke bank zote fungua account upeleke million moja kwanza,pia fungua biashara mbalimbali apo utawin,lakin ukipeleka bank shauri yako itakula kwako,bank hawana msamaha watakufatilia harafu ukisema umeokota anatokea jamaa wanakula dili wanasema ndio waliopoteza hizo ela kwa kuibiwa na wanakuwa na document zote kuonyesha za kwao,harafu watu wanagawana inakula kwako
 

CTU naona unampeleka mtu jela mzima mzima. Tehe tehe tehe. Umetisha CTU
 
Peleka benki ndogo ndogo ambazo hazina majina,fungua account na weka!!make sure unafungua business ya kuzugia
au ukishindwa kabisa fungua fixed deposit account (FDR) ziweke for 6months utapata zaidi ya M 16,Kama interest.
Zitafutie doc hizo hela,zuga umeuza plot etc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…