Money laundering

Money laundering

nash2010

JF-Expert Member
Joined
Jun 18, 2010
Posts
624
Reaction score
216
kwa mfano niki okota milioni mia (ignore the odds), nikaamua kupeleka benki wanaweza kuzi fungia kwa kudhania ni fedha haramu.

NB:
assume nilikua na savings account ambayo haikuwahi kuwa na zaidi ya milioni tatu kwa wakati mmoja.
Na source ya hizi milioni mia ni "kuokota"

Itakuwaje wana jf

specimen
PESA.jpg
 
Umakini wa post yako kiongozi siuoni lakini kwa kusaidiana kuongea kama kijiweni nitakujibu kwa swali, je ni lazima upeleke pesa benki?
Na kama huna matumizi yake kwa maana ya kuanzia biashara yoyote au kujenga nyumba basi tangaza ulikoziokota mwenyewe atapatikana.
 
Hii thread inataka kufanana na Mchezo wa Origional Comedy walisha toa kityu kama hiki, make hapa baadae watu wataanza kubishana kwa kitu kisicho kuwepo
 
nime uliza swali nikitegemea kupata jibu ila naona mapema swali langu linajibiwa na swali

1.nawakumbusha msome HEADING

2.haya ni baadhi ya maneno yaliyopo kwenye original post
kwa mfano niki okota milioni mia (ignore the odds)..........peleka benki.........wanaweza kuzifungia........ fedha haram

kwa kuzingatia hayo nakaribisha michango yenu tafadhali.
 
Kama umasikini unatupeleka kwenye mawazo ya kuokota mahela.
 
Wakati unafungua akaunti kuna fomu ulijaza,zina maelezo hata chanzo cha kipato chako,kwa hio ni lazima wajiulize kulikoni?
 
Benk haziamini kuwa watu huwa mnaokota pesa huku mtaani na wala hamna sera ya pesa za kuokotwa. haya ni mambo ya mitaani.
 
Wakati unafungua akaunti kuna fomu ulijaza,zina maelezo hata chanzo cha kipato chako,kwa hio ni lazima wajiulize kulikoni?

akaunt ipo tayari, japokuwa haijawahi kuwa na fedha kiasi hicho, kwenda kudeposit tu bado kuwanaweza kuwatia mashaka hawa jamaa?.
 
Haya ndio yale mambo ya mtu kuwa na njaa kali halafu unaombea gari ya mikate na soda yagongane ili ujikimu.binafsi naajua ukipeeleka pesa bank kwa sheria za fedha zilizoko nirahisi kukubana, kama zitaonekana zina mushkeli.historia ya mvmt ya cash, kumbukumbu za personal faili lako na transaction zako pia
 
Ukiwaeleza vizuri jinsi ulivoziokota hawatakubana na watakuhifadhia na hata ukitaka ushauri wa kuweka Akiba kwenye Akaunti maalum watafurahi sana.
Hawa Wachimbaji wa Madini na vito wanapata hata zaidi ya hizo, na Benk sio kazi yao kuchunguza umezipataje
Ngoma ni hapo utakapofungua akaunti ya Biashara (Current account) ni lazima uwe na TIN ndipo TRA wanauhalali wa kujua umezipataje na POLISI wajue nani kapoteza
Money Laundering ni UTAKATISHAJI (ufuaji nguo km kwa Dobi) na zipo aina nyingi mpaka hizi za Wizi wa Electronic (ambapo BOT wanataka kusimamisha)
Kwa uelewa wangu huo utakatishaji ni A/c yako inajazwa Hela kutoka mahali km wamekosea ukaokota (Mfano a/c za Serikali, Mashirika ya Umma nk0 na baada ya siku chache wakaziondoa wewe uliyezipitisha katika A/c yako utatafutwa na kuisaidia POLISI, Benki, BOT na hata TRA
 
nimekuelewa mkuu.
 
Mi nadhani siyo lazima upeleke zote kwa mkupuo! Peleka kidogo dogo, but lazima ubuni kijimradi ya kuzugia, ili hata kama wakikushtukia, basi ujue jinsi ya kujhdefend.
Mh...! Tehe tehe tehe, najishangaa navyotoa maelezo kana kwamba tunachojadil ni real Money
 
kuuulizwa umezipataje ni lazima utaulizwa na benk zote zinatakiwa kuwa na suporting doc kuhalalisha fedha zako, hapo kwenye uthibitisho ndipo kuna shida, maana watu huwa wanaforge doc,
 
Mleta thread nadhani ana fedha alizopata kiaina na anataka asaidiwe mawazo ya namna ya kuzitakatisha.
 
iko hivi mtoa mada kuna sehemu kapiga pesa hizo sema sasa ndio hajui azifanyie nini
ngoja nikushauri

millioni tisini na tano nunua kiwanja mjini maeneo ya kuanzia tegeta mpaka mkwajuni,

tenga millioni 5 ya kuandika mchanganuo wa biashara ambayo watavutia investors kujenga property eneo hilo

usijenge wewe hiyo property itakuwa ni rahisi wewe kushtukiwa kuliko kununua kiwanja

investors ndio wajenge

hiyo 5 mil tafuta mtu anayefanya kazi kampuni yeyote ya uwekezaji mfano hawa hapa Homes For Sale, Local Data, Financing Info - ERA Real Estate

c.e.o wake anaitwa Jcharlie young i know him

tafuta mtu yeyote wa humo ndani ya hiyo kampuni mwambie akuandikie b plan ambayo wao huwa wanazikubali kwa ajili ya kujenga property

anaweza kuku charge usd 2,000

so kumpata mtu wa hiyo kampuni kazi ni kwako... mie nimekuonyesha tu sehemu wanyama walipo, aina ya mnyama wa kumla wa kula jinsi ya kuwinda, kuchuna na kumchoma na kumla utajua mwenyewe
 
Mi nadhani siyo lazima upeleke zote kwa mkupuo! Peleka kidogo dogo, but lazima ubuni kijimradi ya kuzugia, ili hata kama wakikushtukia, basi ujue jinsi ya kujhdefend.
Mh...! Tehe tehe tehe, najishangaa navyotoa maelezo kana kwamba tunachojadil ni real Money

yaani wewe unamfundisha kibaka kuwa jambazi, to be honest utashikwa tuu, labda uwadanganye wenye akili ndogo
 
Back
Top Bottom