CHAI CHUNGU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 7,113
- 933
Aisee haifai kabisa, labda kama unataka kulima 1/4 eka.
Aisee haifai kabisa, labda kama unataka kulima 1/4 eka.
Poa mkuu nimekuelewa vema!heka kumi haifai capacity yake ni 2 acres soma
Super MoneyMaker
The Super MoneyMaker Pressure Pump was launched in October 1998, in response to a demand by farmers for a pump that can push water uphill as well as simply pulling it up from the source. This means it is suitable for use on steeply sloping land where the water source may be at the bottom. Thousands use it to pump water from hand-dug wells, rivers, streams, lakes and ponds. It is ideal for sprinkler irrigation, filling overhead water tanks, or for use with nozzles and sprays attached to the end of the delivery hose. This powerful pump can draw water up from 23 feet (7m) and has a total pumping head of 46 feet (14m). It can be used to irrigate up to 2 acres of land.
naona watembelee duka lao soko la kkoo au google kickstart utapata maelezo zaidi
Wapi inauzwa mkuu?Eka kumi, kama una fedha yapata milioni na laki km tatu hv, bora ununue pampu yenye nguvu isiyopungua horse power 8, hii ina uwezo wa kuvuta maji toka umbali wa mita hadi nane na kuyapeleka hadi umbali wa mita mia tatu, utafanya shughuli zako kwa raha, inatumia dizeli na uwezo wa kufanya kazi hadi saa sita mfululizo. Naitumia mm
Eka kumi, kama una fedha yapata milioni na laki km tatu hv, bora ununue pampu yenye nguvu isiyopungua horse power 8, hii ina uwezo wa kuvuta maji toka umbali wa mita hadi nane na kuyapeleka hadi umbali wa mita mia tatu, utafanya shughuli zako kwa raha, inatumia dizeli na uwezo wa kufanya kazi hadi saa sita mfululizo. Naitumia mm
Mkuu ni Pump gani inafaa kufanya irrigation kwenye ekari 100,nataka kuchimba kisima shambani kwa ajiri ya kumwagilia tafadhali naomba muongozo ni pump gani inafaa kwa mazingira hayo
Kabla ya kutafuta pump ni vema ukapima eneo lako kujua kiasi cha maji kilichopo chini ya ardhi na yako umbali gani. Ukipata taarifa hizo pump zipo za kupiga mzigo wa aina yeyote.
Kabla ya kutafuta pump ni vema ukapima eneo lako kujua kiasi cha maji kilichopo chini ya ardhi na yako umbali gani. Ukipata taarifa hizo pump zipo za kupiga mzigo wa aina yeyote.
mi naomba kujua bei yake.. nimejaaribu kutumia google naona haijanisaidia.. Nina project ya bustani ya kama heka mbili.
mkuu ulishafanikisha zoezi?Habari wana JF.
Napenda kujua kama hi pump ya maji aina ya"MONEY MAKER PUMP"kama inaweza kunisaidia kwa kilimo cha bustani maeneo ya MOROGORO bush?ninampango wa kulima hk 10 za nyanya,matango na mahindi kwa ajiri ya kuyauza yakiwa mabichi.
Naombeni ushauri tafadhari.
Mkuu malila kama upo jirani msaada tafadhari,maana nina imani na wewe.
Habari mkuu,ulifanikiwa kuhusu mpango wako huu na ulifanikiwa vipiMkuu ni Pump gani inafaa kufanya irrigation kwenye ekari 100,nataka kuchimba kisima shambani kwa ajiri ya kumwagilia tafadhali naomba muongozo ni pump gani inafaa kwa mazingira hayo