Money maker pump inafaa kwa kilimo cha umwagiliaji????

Money maker pump inafaa kwa kilimo cha umwagiliaji????

In Tanzania

KickStart - Tanzania
P.O. Box 33605, Dar es Salaam
Serengeti Rd/Garden Road
Plot No. 57/Hse No. 400
Mikocheni B, Dar es Salaam
Tanzania

Tel: +255.22.2.773400
Hotline: +255.22.2.773458
Fax- +255.22.278.0433
E-mail: kickstart.tz@kickstart.org


kama ni kujua tu bei kwanza wapigie hizi simu au email, ila duka wanalo kkoo sokoni
Hizo pump zao ni kwa ajili ya home gardens. Huwezi kulima ekari hata moja ukawaza kutumia money maker pumps
 
Wakubwa. Naomba kujuzwa bei ya money maker manual water pump. Kwa mwenye hata iorta ya idea please
 
Back
Top Bottom