Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
Mtupie simba πΆπΆπΆπΆDah umewezaje kumtuliza huyo manzi??...Maana kwa maandiko yake anaonekana ni Mfupa uliomshindaga fisi
Hongera Btw
Thank u but am married sonNi wife material p
Ni wife material pia yuko wise Sana.
Atambe?!Hongera mkuu...ila usisahau kuleta mlejesho.
Umelamba jikeNdugu zetu Wana MMU kwa heshma na taadhima napenda kuwataarifu rasmi kwamba hatimae Money Penny na superbug ni mtu na mchumba wake rasmi.
Tunaendelea na taratibu za kifamilia kama Mambo yakienda Kama tunavyotarajia tutawajulisha rasmi.
Mwisho Uhuru na faragha yetu yanabaki kuwa Mambo binafsi kwetu asanteni.
Superbug.
Tunalazimika kuandika hivi ili kuwaziba mdomo haters nakuelewa wf.Hahahahahahaha makuuubwa
Alienishtua NI mume wangu anauliza Una shida ya kiakili, kiafya, nguvu za kiume au kibamia??
Acha ujinga me MKE WA mtu Bibi WA wajukuu 9 na vitukuu 5
Nenda YouTube utanijuaTuma picha yake mkuu hatumjui
Wewe nimekupendakapicha puliz
πππππππ He wishUmelamba jike
Money penny NI Ke Akiniruhusu kuthibitisha nitaweka picha yake hapa SEMA NI wamoto haswaaaaaKwani money penny ni ke?
Acha utani huyo money ni me
We mtoto acha ujingaTunalazimika kuandika hivi ili kuwaziba mdomo haters nakuelewa wf.
Kiru, Bibi WA Miaka 63 NI WA Moto?!πππMoney penny NI Ke Akiniruhusu kuthibitisha nitaweka picha yake hapa SEMA NI wamoto haswaaaaa
Naposema wamoto nadhani mabaharia mnanielewa
N
Ataanzaje labda??Mkubwa utafaidi aisee[emoji39][emoji39]
πππππKwani money penny ni ke?
Acha utani huyo money ni me
Hahahahahahaha makuuubwa
Alienishtua NI mume wangu anauliza Una shida ya kiakili, kiafya, nguvu za kiume au kibamia??
Acha ujinga me MKE WA mtu Bibi WA wajukuu 9 na vitukuu 5
HahahaUnachumbia mwanaume mwenzio?[emoji134][emoji134]
Dunia yaenda kasi sana.
Ntakusemea weweeeeLakini bado tunakupenda
Bora ushangae weweMoney Penny huyu huyu?
[emoji1491][emoji16][emoji16][emoji16]Ndugu zetu Wana MMU kwa heshma na taadhima napenda kuwataarifu rasmi kwamba hatimae Money Penny na superbug ni mtu na mchumba wake rasmi.
Tunaendelea na taratibu za kifamilia kama Mambo yakienda Kama tunavyotarajia tutawajulisha rasmi.
Mwisho Uhuru na faragha yetu yanabaki kuwa Mambo binafsi kwetu asanteni.
Superbug.