Money penny amekubali kuchumbiwa na Superbug

Money penny amekubali kuchumbiwa na Superbug

Moneypenny hii ni ndoa ya jf tu usimaindi wala nini, mjuba kakuona huko yutub na huo mzigo Mungu anakuona hakyanani, hata mimi ningetangaza nia sema najua utanipa za mbavu fasta.
 
Ndugu zetu Wana MMU kwa heshma na taadhima napenda kuwataarifu rasmi kwamba hatimae Money Penny na superbug ni mtu na mchumba wake rasmi.

Tunaendelea na taratibu za kifamilia kama Mambo yakienda Kama tunavyotarajia tutawajulisha rasmi.

Mwisho Uhuru na faragha yetu yanabaki kuwa Mambo binafsi kwetu asanteni.

Superbug.
Ndio kusema "bi Kasie na Miss Natafuta hili bandiko hawajaliona? Au ndio wivu na hasira vimewakaba Shost wao kupata wa kumstiri!?
 
Back
Top Bottom