Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
To be honest nimemiss Sana JF na kuandika HADITHI Kwa website yangu na Kuongea YouTube, tulieni Wana ngoja upepo upite nitarudi Novemba
NIMEKUWA buzy mweeee, Hadi utanihurumia💃
Anywho naskia mabaharia huku mnalalamika natoa namba feki, kuna Faza anapokea simu na KUWAFOKEA 😂😂😂, poleni mweee
nilishawaambia namba yangu ya simu iko Kwa website yangu na Instagram yangu ya binafsi
Hizo namba mnampigia Nani tenaa?! 🙄
Anywho nawapenda❤️🔥❤️
Ratiba yangu ya kuniona iko hivi:
j2 napatikana viwanja vya kawe Kwa Mchungaji Mwamposa🙏
J3 mpaka ijumaa nipo round about ya kawe na Nabii Tito 😂 tunafanya kampeni💃
Ijumaa napatikana Juliana Bar Africana, SAA 1 mpaka SAA 4 usiku, VIP Lounges
Jumamosi napatikana Rotanna Hotel Sunday Brunch
ila Leo nipo nyumbani kwetu Bunju namalizia kuangalia tamthilia ya Queen Sono Netflix🔥