Money Penny Mpenzi, naomba namba yako ya simu

Money Penny Mpenzi, naomba namba yako ya simu

To be honest nimemiss Sana JF na kuandika HADITHI Kwa website yangu na Kuongea YouTube, tulieni Wana ngoja upepo upite nitarudi Novemba

NIMEKUWA buzy mweeee, Hadi utanihurumia[emoji126]

Anywho naskia mabaharia huku mnalalamika natoa namba feki, kuna Faza anapokea simu na KUWAFOKEA [emoji23][emoji23][emoji23], poleni mweee

nilishawaambia namba yangu ya simu iko Kwa website yangu na Instagram yangu ya binafsi
Hizo namba mnampigia Nani tenaa?! [emoji849]

Anywho nawapenda[emoji3590][emoji91][emoji3590]

Ratiba yangu ya kuniona iko hivi:

j2 napatikana viwanja vya kawe Kwa Mchungaji Mwamposa[emoji120]

J3 mpaka ijumaa nipo round about ya kawe na Nabii Tito [emoji23] tunafanya kampeni[emoji126]

Ijumaa napatikana Juliana Bar Africana, SAA 1 mpaka SAA 4 usiku, VIP Lounges

Jumamosi napatikana Rotanna Hotel Sunday Brunch

ila Leo nipo nyumbani kwetu Bunju namalizia kuangalia tamthilia ya Queen Sono Netflix[emoji91]
Wewe dada una heka heka nyingi.
Hadi unauza mashangazi insta!!!!
Hatari sana
 
weka picha ya mauzo watu wakuamini basi
Hii hapa ulinipaga jina la ac yako
Screenshot_20230723-193630_Instagram.jpg
 
Back
Top Bottom