Money stunna uko wapi?

Money stunna uko wapi?

Watu wanawaeza wakawa wamesha RIP.
 
Jamani huyu member nimemmiss,kapotelea wapi jamani ,alikua anachangamsha jukwaa ,nna siku simuoni aisee hebu mtafuteni akuje au ndio kabadili id ,,money stunna njoo uone yanayojiri huku
Natumaini hata wengine mmemmiss pia ni member mwenzetu sijui yupo wapi
hata nimi nilipotea jf kwa mda wa kama mwaka mmoja hivi.nilikuwa naingia mara chache chache sana,nimejerea hivi majuzi tu.

round hii napanga kupotea tena kwa mda usio na ukomo rasmi.

hivyo basi kama kuna member ananidai anikumbushe mapema kabla sijatoweka.
 
Mi nakudaiiii
 
Back
Top Bottom