KweliMimi ni mtamu?
Watakuwa wamewowana haoAhahah simuoni nae sijui yupo wapi
Labda wanaisoma number
Kweli
Sijapitia mambo ya ukutiukuti [emoji85] [emoji85]Wakati uko mdogo ulikuwa unapenda kucheza ukuti ukuti?
Sijapitia mambo ya ukutiukuti [emoji85] [emoji85]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sidhaniLabda wanaisoma number
wewe una multiple id umejuaje @badybei wakati ni mgeni humu?Kuna yule dada alimdhondokea money stunna nae sijui yuko wapi, tungemuuliza anaweza kuwa na jibu
hata nimi nilipotea jf kwa mda wa kama mwaka mmoja hivi.nilikuwa naingia mara chache chache sana,nimejerea hivi majuzi tu.Jamani huyu member nimemmiss,kapotelea wapi jamani ,alikua anachangamsha jukwaa ,nna siku simuoni aisee hebu mtafuteni akuje au ndio kabadili id ,,money stunna njoo uone yanayojiri huku
Natumaini hata wengine mmemmiss pia ni member mwenzetu sijui yupo wapi
Umezaliwa 90's au wakati wa Jakaya?Sijapitia mambo ya ukutiukuti [emoji85] [emoji85]
Mrembo by Nature alibadili ID anajiita Binti Magufuli...namkumbuka Mrembo by nature a.k.a [HASHTAG]#wema[/HASHTAG] sepetu
Mi nakudaiiiihata nimi nilipotea jf kwa mda wa kama mwaka mmoja hivi.nilikuwa naingia mara chache chache sana,nimejerea hivi majuzi tu.
round hii napanga kupotea tena kwa mda usio na ukomo rasmi.
hivyo basi kama kuna member ananidai anikumbushe mapema kabla sijatoweka.
shi' ngapi?Mi nakudaiiii
Maajabu, anti Magu awe binti Magu? Kimambi na Magu where and where?Mrembo by Nature alibadili ID anajiita Binti Magufuli...
Kwenye signature yake anaandika former MBN(Mrembo By Nature)