Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Binti MagufuliMaajabu, anti Magu awe binti Magu? Kimambi na Magu where and where?
Ugeni wangu ni upi, mie niko huku miaka mingi sema nilikuwa msomaji tuuwewe una multiple id umejuaje @badybei wakati ni mgeni humu?
mmmh unatumia jina jipya basiUgeni wangu ni upi, mie niko huku miaka mingi sema nilikuwa msomaji tuu
Na bulldog pia maybe majukum yamewabana
Mhhhhhhhhhhh una maanisha nnWengine wanapoteza interest na JF.
Mara ya mwisho naongea na Bulldog alikuwa amepata majanga mabaya sana.
Aliikosea serikali ya Magufuli, akapotezwa..
huyu dada zamani alikuwa anajiita mrembo by nature
Kuna jamaa mmoja anajiita erick B52General Galadudu mi nmekumiss wewe
Babu dc yupo anacbungulia tu michango imekuwa adimu sana
Sana nimewamiss mno kina utafitiBabu dc yupo anacbungulia tu michango imekuwa adimu sana
Ni story ndefu..Mhhhhhhhhhhh una maanisha nn
AiseeNi story ndefu..
Ila jF sio salama kama unaiponda serikali ya magufuli.
Bulldog akirudi atatupa mrejesho.
Nnalo haswaaaa
Kijana mwenyewe mzuri huyo analika tena