Ah, namimi sirudi mpaka unianzishie threadKidogo tu nikuulizie maana nimemiss thread zako bana hebu rudi
Huyo bavaria ndio bulldog mwenyewe,alibadili ID name,angalia thread zake za mwanzoMhhhhhhhhhhh una maanisha nn
Aaaaaah mkuuu ngoja nioneHuyo bavaria ndio bulldog mwenyewe,alibadili ID name,angalia threaf zake za mwanzo
Angalia thread zake za 2014Aaaaaah mkuuu ngoja nione
Labda ni mmoja wa waliookotwa mto Ruvu kwenye viroba...! [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yap wamepotea bila hata kuaga
Ubize..Ndio maana nawe umekua kimya ?