Money talks kwa kweli

Money talks kwa kweli

Unique Flower, wee kila anayekugonga ni bonge la tajiri? Kama ndio, hao matajiri unawapata wapi kwenye nchi fukara Kama hii ambayo inashika nafasi ya nne kwa watu wake kukosa furaha duniani?
lara 1 ni bonge la writer, bonge la story teller, bonge la artist, akiandika unajikuta tu umesoma Hadi mwisho. Uzi mrefuuuu, mtamuuuu.
lara 1 ni bonge la jembe
Umeshanikosoa vyote hivi?
Sio mimi ambaye nimepewa pasu ningeringa sana nammengejua
 
Hizo ni sifa positive za lara 1, na wewe unazo zako. Hivi unajua kuwa lara 1 alikuwa na PhD tatu za udangaji lakini akaokoka na kuwa Mchungaji?
Mapito ya lara 1 si ya kitoto, utapasuka msamba.
Kesho ntaorodhesha sifa zako elfu 10 nzuri, usikonde katoto kazuri
 
Naani kakuambia mimi ni katoto kazuri??
As unique flower give me your opinion
 
Back
Top Bottom