GE2025 Money VS Power: Siri ya Matajiri na Watu maarufu kuutaka Ubunge Tanzania

GE2025 Money VS Power: Siri ya Matajiri na Watu maarufu kuutaka Ubunge Tanzania

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
kwa definition yako ya utajiri uliyoitoa hapa it means Tanzania hakunaTajiri hata mmoja maana sijaona Tajiri anayeweza kutunishiana misuli na mwanasiasa wa caliber yake ya utajiri including Huyo MO na bakhressa
Maybe ni sababu hatujui yanayoendelea huko ndani ndani.

Ila nikupe mfano, leo bakhresa akiamua kupandisha bei ya kila kitu kuanzia huduma za media, bidhaa za vyakula, etc... unadhan nani atamtishia ashushe?

Hio inatupeleka kwenye kanuni mojawapo ya Power kwamba, the more u misuse it the more likely u'll lose it. Na ndo maana most of these guys are just humble unless disturbed.
 
Hiyo 700M we umeitoa wapi, shida ya huku kila mtu mjuaji
Posho, mishahara ya kila mwezi na kiinua mgongo cha mbunge baada ya makato ya vieite vinaeleweka na viko wazi. Tatizo ni lako kama hujui kwa kupata hizi taarifa.
 
Yaani unaweza kumfananisha Mfanyabiashara ambaye ana run biashara za Mbalion na Mbunge mwanasiasa .

hao unaowaona kina Abud ,msukuma n.k wote hao wanafata hela bungeni and nothing else
Matajiri wanatafuta michongo yao ya ula dili pale bungeni wanaltetea biashara zao ..Nchi hii wanasiasa wanaweza kukuharibia biashara zako sekunde tu ...Hata mkuu wa mkoa anaweza kumletea noma bilionea akajuta kuishi Tz ...

Manji na pesa zote zili alikuwa anamuogopa Makonda hapo Dar es salaam ,mpaka Tz alikuwa anaiona chungu ..Mabilionea wote hapa Tz ni CCM ; Mo dewji , Diamond ,Wakina kusaga , Vunjabei ...All in all ,wanalinda biashara zao.

Hata kama usipokuwa CCM basi usiwe against nao kama Bakhresa ,Gsm na waarabu wengine hauwezi kuwakuta upinzani hata siku moja.
 
Matajiri wanatafuta michongo yao ya ula dili pale bungeni wanaltetea biashara zao ..Nchi hii wanasiasa wanaweza kukuharibia biashara zako sekunde tu ...Hata mkuu wa mkoa anaweza kumletea noma bilionea akajuta kuishi Tz ...

Manji na pesa zote zili alikuwa anamuogopa Makonda hapo Dar es salaam mpaka Tz alikuwa anaiona chungu ..Mabilionea wote hapa Tz ni CCM ; Mo dewji , Diamond ,Wakina kusaga , Vunjabei ...All in all ,wanalinda biashara zao.

Hata kama usipokuwa CCM basi usiwe against nao kama Bakhresa ,Gsm na waarabu wengine hauwezi kuwakuta upinzani hata siku moja.

Nchi ambayo ina watu wajinga .

Manji alikuwa anatengeneza Ajira ngapi na alikuwa analipa kodi kiasi gani.

Nilishngaa Sana Kumuona JPM anakosa busara na hekima na kuamua kumnyanya Kijana Kama yule ambaye alikuwa hana makuu .

Ukiachana na hoja yako Ila hawa akina msukuma ni wanafata hela na Kama kuna kingine wanafata kupata deals za Kupata tenda za Serikali.
 
Yaani mimi nilikuwa nashangaa yaani Manji anapelekewa moto na mtu ambaye anaweza kuwa kwenye payroll yake kama mfanyakazi wake...

Kiufupi nchi hii wanasiasa wana both power and money ...Wanawekeza sana kwenye intimidation basi .

Yule Dangote pia anapewa stress na wanasiasa hapo Nigeria ,bado wanaagiza mafuta nje na wanaachana na miradi yake kumkomoa
1000106868.png
 
Unchobidi kujua hao wanafata hela na kingine wanaingia bungeni Ku-secured biashara zao.

Ikiwa hawafati hela waambie watumie mishahara yao na kiinua Mgongo kuisadia jamii kama watakubali.
Hawafuati pesa mkuu, kumbuka Rostam akiwa mbunge anafuata pesa gani? Wanataka influence ya kuwa karibu na wafanya maamuzi. Kumbuka serikali yote IPO bungeni.
 
Mfanyabiashara wa maana hautakiwi KUWA mbunge, unatakiwa uwatumie hao wanasiasa kufikia Malengo. Mfano ukiwa tu Sponsor wa Chama pendwa utakuwa umemaliza kazi
 
Hawafuati pesa mkuu, kumbuka Rostam akiwa mbunge anafuata pesa gani? Wanataka influence ya kuwa karibu na wafanya maamuzi. Kumbuka serikali yote IPO bungeni.
Mfano influence aliyonayo bakhressa anahitaji Ubunge ?

Kwa utajiri alionao Bakhressa hao wanasiasa wote sianaweza kuwakweka mfukoni.

Ukiona MTU anaingia bungeni fahamua anafata hela na kufukuzia tenda za Serikali .
 
Bungeni kiinua mgongo cha miaka mitano puls mshahara na posho ya kila mwezi ni 700ml. Aboud anashusha kila baada ya miaka mitatu mabasi 100 kwa mkupuo na kila bus ni 300ml. Piga hesabu zako halafu uone kama ubunge unaweza kukupa pesa hata ya mabasi matatu mapya. Mtoa mada yupo sahihi.
Huenda yuko pale kufanikisha biashara zake, uliwahi kuona hao matajiri wana support upinzani? Kwanini?
 
Mfanyabiashara wa maana hautakiwi KUWA mbunge, unatakiwa uwatumie hao wanasiasa kufikia Marengo. Mfano ukiwa tu Sponsor wa Chama pendwa utakuwa umemaliza kazi
Hiyo ni mbinu mojawapo inayotumika pia ukiona Babu Tale yuko bungeni na Romy Jons anautaka ubunge ujue Diamond anahusika 100%
Ukiona Hersi anaenda kugombea ubunge ujue GSM anahusika 100%

Hivyo hizo endorsement zinatumika sana kuingiza watu bungeni kwa maslahi maalumu japokuwa endorsement lazima iwe attached na mtu huwezi kuendorse chama tu moja kwa moja TZ maana hakuna mwenye uhakika kuanzia mwenyekiti mwenyewe wote wanaishi kwa machale tu
 
Yaani unaweza kumfananisha Mfanyabiashara ambaye ana run biashara za Mbalion na Mbunge mwanasiasa .

hao unaowaona kina Abud ,msukuma n.k wote hao wanafata hela bungeni and nothing else
Labda msukuma lakini sio Abood
 
Mwambie Abood huo. Mshahara wake asiwe anachukua Ila anaurudisha kwa jamii.

Ukiachana na kutoa Gari la kubeba Maiti sikumbuki kuna jambo gani amefanya hapo Morogoro.
Embu niambie kwa mtindo huu mshahara wa bunge na marupurupu yake yatamsaifia vipi kufikia hapa?

Kuhusu alicho fanya morogoro kama si mkazi wa pale huwezi ona, si mtu wa kufanya kwa kujionyesha , ndivyo ninavyo mfahamu mimi.
Screenshot_20250630-123636_Instagram Lite.jpg
 
Back
Top Bottom