kali linux
JF-Expert Member
- May 21, 2017
- 2,303
- 6,123
Maybe ni sababu hatujui yanayoendelea huko ndani ndani.kwa definition yako ya utajiri uliyoitoa hapa it means Tanzania hakunaTajiri hata mmoja maana sijaona Tajiri anayeweza kutunishiana misuli na mwanasiasa wa caliber yake ya utajiri including Huyo MO na bakhressa
Posho, mishahara ya kila mwezi na kiinua mgongo cha mbunge baada ya makato ya vieite vinaeleweka na viko wazi. Tatizo ni lako kama hujui kwa kupata hizi taarifa.Hiyo 700M we umeitoa wapi, shida ya huku kila mtu mjuaji
Matajiri wanatafuta michongo yao ya ula dili pale bungeni wanaltetea biashara zao ..Nchi hii wanasiasa wanaweza kukuharibia biashara zako sekunde tu ...Hata mkuu wa mkoa anaweza kumletea noma bilionea akajuta kuishi Tz ...Yaani unaweza kumfananisha Mfanyabiashara ambaye ana run biashara za Mbalion na Mbunge mwanasiasa .
hao unaowaona kina Abud ,msukuma n.k wote hao wanafata hela bungeni and nothing else
We ndio umepatia jibuUkimsoma manslow na principle yake ya hierechy of need tumeumbwa kuhitaji kadri tunavyopata
Matajiri wanatafuta michongo yao ya ula dili pale bungeni wanaltetea biashara zao ..Nchi hii wanasiasa wanaweza kukuharibia biashara zako sekunde tu ...Hata mkuu wa mkoa anaweza kumletea noma bilionea akajuta kuishi Tz ...
Manji na pesa zote zili alikuwa anamuogopa Makonda hapo Dar es salaam mpaka Tz alikuwa anaiona chungu ..Mabilionea wote hapa Tz ni CCM ; Mo dewji , Diamond ,Wakina kusaga , Vunjabei ...All in all ,wanalinda biashara zao.
Hata kama usipokuwa CCM basi usiwe against nao kama Bakhresa ,Gsm na waarabu wengine hauwezi kuwakuta upinzani hata siku moja.
Yaani mimi nilikuwa nashangaa yaani Manji anapelekewa moto na mtu ambaye anaweza kuwa kwenye payroll yake kama mfanyakazi wake...Nchi ambayo ina watu wajinga .
Manji alikuwa anatengeneza Ajira ngapi na alikuwa analipa kodi kiasi gani.
Nilishngaa Sana Kumuona JPM anakosa busara na hekima na kuamua kumnyanya Kijana Kama yule ambaye alikuwa hana makuu .
Ukiachana na hoja yako Ila hawa akina msukuma ni wanafata hela na Kama kuna kingine wanafata kupata deals za Kupata tenda za Serikali.
Yaani mimi nilikuwa nashangaa yaani Manji anapelekewa moto na mtu ambaye anaweza kuwa kwenye payroll yake kama mfanyakazi wake...
Kiufupi nchi hii wanasiasa wana both power and money ...Wanawekeza sana kwenye intimidation basi .
View attachment 3389094
Hawafuati pesa mkuu, kumbuka Rostam akiwa mbunge anafuata pesa gani? Wanataka influence ya kuwa karibu na wafanya maamuzi. Kumbuka serikali yote IPO bungeni.Unchobidi kujua hao wanafata hela na kingine wanaingia bungeni Ku-secured biashara zao.
Ikiwa hawafati hela waambie watumie mishahara yao na kiinua Mgongo kuisadia jamii kama watakubali.
Mfano influence aliyonayo bakhressa anahitaji Ubunge ?Hawafuati pesa mkuu, kumbuka Rostam akiwa mbunge anafuata pesa gani? Wanataka influence ya kuwa karibu na wafanya maamuzi. Kumbuka serikali yote IPO bungeni.
Mfanyabiashara wa maana hautakiwi KUWA mbunge, unatakiwa uwatumie hao wanasiasa kufikia Marengo. Mfano ukiwa tu Sponsor wa Chama pendwa utakuwa umemaliza kazi
Huenda yuko pale kufanikisha biashara zake, uliwahi kuona hao matajiri wana support upinzani? Kwanini?Bungeni kiinua mgongo cha miaka mitano puls mshahara na posho ya kila mwezi ni 700ml. Aboud anashusha kila baada ya miaka mitatu mabasi 100 kwa mkupuo na kila bus ni 300ml. Piga hesabu zako halafu uone kama ubunge unaweza kukupa pesa hata ya mabasi matatu mapya. Mtoa mada yupo sahihi.
Kwani kwenye siasa kuna msaidia nini au anafaidika nini ?Sasa we ndiyo umeandika nini. Abood au Shabiby anafuata 18M kwa mwezi? Think big, jibu liko kwenye Maslow's hierarchy of human needs
Hiyo ni mbinu mojawapo inayotumika pia ukiona Babu Tale yuko bungeni na Romy Jons anautaka ubunge ujue Diamond anahusika 100%Mfanyabiashara wa maana hautakiwi KUWA mbunge, unatakiwa uwatumie hao wanasiasa kufikia Marengo. Mfano ukiwa tu Sponsor wa Chama pendwa utakuwa umemaliza kazi
Labda msukuma lakini sio AboodYaani unaweza kumfananisha Mfanyabiashara ambaye ana run biashara za Mbalion na Mbunge mwanasiasa .
hao unaowaona kina Abud ,msukuma n.k wote hao wanafata hela bungeni and nothing else
Labda msukuma lakini sio Abood
Embu niambie kwa mtindo huu mshahara wa bunge na marupurupu yake yatamsaifia vipi kufikia hapa?Mwambie Abood huo. Mshahara wake asiwe anachukua Ila anaurudisha kwa jamii.
Ukiachana na kutoa Gari la kubeba Maiti sikumbuki kuna jambo gani amefanya hapo Morogoro.