Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Naibu katibu Mkuu huyo wa CCM, Taifa, John Mongella amefika Mkoani Shinyanga kuhitimisha kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika novemba 27, mwaka huu.
Sambamba na hilo Mongella ameongoza maandamano makubwa kutoka ofisi za CCM, Mkoa hadi kata ya Kitangili kuhamasisha wananchi kushiriki uchaguzi huo wa serikali za mitaa na kukipigia kura chama cha Mapinbduzi, CCM.