Mkuu mambo M&E sisi watanzania hatuko vizuri sana hebu jaribu kufuatilia Kenya maana kuna MTU namfahamu alikwenda kusomea Kenya.Wakuu natafuta short course ya monitoring and evaluation kwa hapa Tanzania au East Africa. Naomba kwa anayeweza kunifahamisha chuo au tahasisi inayotoa hii kozi, muda na gharama zake.
Pia kama kuna anayefahamu scholarship za short course za hii kozi nje ya nchi anifahamishe, njia zake. au jinsi ya kupata updates ya trainings mbalimbali.
Mimi nina degree na masters ya PublicAdmnistration.
Natanguliza shukrani na ubarikiwe utakae nipa mwanga.
Mkuu mambo M&E sisi watanzania hatuko vizuri sana hebu jaribu kufuatilia Kenya maana kuna MTU namfahamu alikwenda kusomea Kenya.
Tuko vizuri tz achana na huyo mcharo anayehusudu kenya sijui ana bwana huko jzribu bacas sua
A cha matusi mkuu Mimi nipo kwenye mambo ya Consultancy na nishafanya kazi na wataalamu wengi tu wanaenda Nairobi kuchukua Darasa.Hi kitu wakenya wako mbali sana kuliko sisi waltz,penye ukweli kubali tu mkuu hata kama wakenya huwapendi.Tuko vizuri tz achana na huyo mcharo anayehusudu kenya sijui ana bwana huko jzribu bacas sua
Wakuu natafuta short course ya monitoring and evaluation kwa hapa Tanzania au East Africa. Naomba kwa anayeweza kunifahamisha chuo au tahasisi inayotoa hii kozi, muda na gharama zake.
Pia kama kuna anayefahamu scholarship za short course za hii kozi nje ya nchi anifahamishe, njia zake. au jinsi ya kupata updates ya trainings mbalimbali.
Mimi nina degree na masters ya PublicAdmnistration.
Natanguliza shukrani na ubarikiwe utakae nipa mwanga.
kama unataka knowledge tu, unaweza kwenda kumuomba Dr yoyote, aloyesomea project planning. Akatenga muda akakufundisha. Wataalamu wapo sua, udsm, open dsm na tumaini.Mimi kuna jamaa angu alikuwa akihitaj knowledge tu akaenda Tumaini iringa kuna Dr akamfundisha kama wiki mbili. Monitoring and evaluation ni sehem ya project management.
Kwa UDSM akamtafute Dr.Haji Semboja dept ya economics,hiyo kozi inafundishwa na IDS,but lecturer ni semboja,akionana nae anaweza mkubalia kuingia darasani,semester hii inayoanza juna 3 ndo huwa inafundishwakama unataka knowledge tu, unaweza kwenda kumuomba Dr yoyote, aloyesomea project planning. Akatenga muda akakufundisha. Wataalamu wapo sua, udsm, open dsm na tumaini.Mimi kuna jamaa angu alikuwa akihitaj knowledge tu akaenda Tumaini iringa kuna Dr akamfundisha kama wiki mbili. Monitoring and evaluation ni sehem ya project management.
open walitangaza kuanza kutoa Masters yake ktk matawi ya DSM, arusha na Zanzibar.
mimi nna madesa tu ya M&E kama upo tayari nipe email address yako niwe nakurushia kidogokidogo yapo mengi,
Kwa UDSM akamtafute Dr.Haji Semboja dept ya economics,hiyo kozi inafundishwa na IDS,but lecturer ni semboja,akionana nae anaweza mkubalia kuingia darasani,semester hii inayoanza juna 3 ndo huwa inafundishwa
A cha matusi mkuu Mimi nipo kwenye mambo ya Consultancy na nishafanya kazi na wataalamu wengi tu wanaenda Nairobi kuchukua Darasa.Hi kitu wakenya wako mbali sana kuliko sisi waltz,penye ukweli kubali tu mkuu hata kama wakenya huwapendi.
Kuna Chuo kipo Arusha pale Usa River maarufu kama 'Danish Voluteer' zipo hizi course
Nitafatilia hii mkuu. Asante sana.
Pamoja mdau-nimeiona PM yako chek ua email inbox