Wakuu natafuta short course ya monitoring and evaluation kwa hapa Tanzania au East Africa. Naomba kwa anayeweza kunifahamisha chuo au tahasisi inayotoa hii kozi, muda na gharama zake.
Pia kama kuna anayefahamu scholarship za short course za hii kozi nje ya nchi anifahamishe, njia zake. au jinsi ya kupata updates ya trainings mbalimbali.
Mimi nina degree na masters ya PublicAdmnistration.
Natanguliza shukrani na ubarikiwe utakae nipa mwanga.