Monitoring thread: John Pombe Magufuli katika Awamu ya Nne



Alafu watu wanashika pango eti jembe? Waziri mzima andanganya ilikuwazima Waandishi wasiripoti upotefu wa Mapesa yetu. Jeuri hiyo na bado yuko nayo ''Wasio na Pesa wapige mbizi''-Kigamboni Dsm
 

ni hatari sana. kweli ccm ni ccm tu wala hakuna jipya
 
Mussa Magufuli ni mdogo wake na JP Magufuli ambaye aliuziwa nyumba ya serikali na kaka yake mwezi mmoja baada ya kumaliza chuo kikuu. Pia aliajiriwa na serikali akiwa bado hajahitimu chuo kikuu bila diploma wala certificate.

Huyu ndio muadilifu mnayetaka apewe ikulu. Wananchi wanalala kwenye nyumba za tembe, polisi wanalala kwenye nyumba za suti. Wao wanagawana keki ya taifa. Huyu ndiye aliyesimamisha mradi wa barabara geita akaupindisha ili upite kijijini kwao.

Huyu ndiye aliyeweka taa za barabarani Chato jirani na baa yake. Mnamtaka ikulu




Source: Gazeti Rai Novemba 7, 2008
 


Unalipwa kiasi gani na lowasa umekurupuka huko kuja kupost pumba inamaana watu wote waliouziwa nyumba ni wadogo zake Mh rais magufuli au?

Za kuambiwa changanya na za kwako
 
Hivi uadilifu hauhusiani na kuivunja amri ya 6? kwanini nisiamini Lowassa ni mwadilifu?
 

Mshezi kweli huyu jamaa,Watumishi wa Umma hawana nyumba yeye amegawa kama peremende mpaka kwa kimada wake Sundi Malomo!!
 
Unalipwa kiasi gani na lowasa umekurupuka huko kuja kupost pumba inamaana watu wote waliouziwa nyumba ni wadogo zake Mh rais magufuli au?

Za kuambiwa changanya na za kwako

Ndio maana Lowassa akasema elimu elimu elimu. Kwa akili zako za kijani unaamini nimeambiwa? Huoni na ushahidi umewekwa na hajawahi kukanusha. Huoni nineweka source. Sasa nimeambiwa na nani? Kweli we mburula Dada yangu. Elimu elinu elimu inatakiwa kwa kweli ili Vilaza kama nyie angalau mfufuke
 
Kuna ile aliyomuuzia girl friend wake ambae hakua mtumishi wa umma, wamezaa nae tu akamuuzia nyumba ya serikali wakati masharti yalitaka wauziwe senior civil servants.

Nyumba ya bilioni 1.5 akamuuzia girl friend wake milioni 22. Nyumba ya bilioni moja akamuuzia rafiki yake Hosea wa Takukuru milioni 52.

Alafu huyo mdogo wake alikua wizara ya maliasili na utalii, mwaka jana magufuri akamhamishia wizara ya ujenzi bila kufuata utaratibu huku magufuri mwenyewe akibeba makalabrasha kwenda utumishi kushughulikia uhamisho na kutisha wafanyakazi wa utumishi wamhamishe mdogo wake kwa nguvu.

Ni wenye iq ya 20 tu ndio wanaweza kumsapoti magufuri, yaani mataahira.
 
Watu kwa kukosa ufahamu Wa mambo ndio utawasikia wakisema Magufuli ni muadilifu, ukweli unapingana na uhalisia
 
Mussa Magufuli ni mdogo wake na JP Magufuli ambaye aliuziwa nyumba ya serikali na kaka yake mwezi mmoja baada ya kumaliza chuo kikuu. Pia aliajiriwa na serikali akiwa bado hajahitimu chuo kikuu bila diploma wala certificate. Huyu ndio muadilifu mnayetaka apewe ikulu
Source: Gazeti Rai Novemba 7, 2008
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…