Monitoring thread: John Pombe Magufuli katika Awamu ya Nne

Monitoring thread: John Pombe Magufuli katika Awamu ya Nne

Kwahiyo lowassa nae ni mdogo wake magufuli? Hii pumba hapa kazi tu.
 
Acheni zenu.. Mnataka mtu ambaye Ni fisadi apewe Nchi? Kamanda Wa Anga mbowe, Na wenzio mmetuaminisha miaka nenda rudi kuwa ENL Ni Fisadi, hafai kupewa nafasi ya kutuongoza iweje Leo mumkubali aingie madarakani? Tena kupitia Chama chetu tukufu?
 
Wewe acha uongo. Musa aliuziwa nyumba ya serikali kinyume na taratibu kwani alikuwa sio muajiriwa wa serikali bali alikuwa katika mafunzo ya vitendo ikiwa sehemu ya mafunzo chuoni. Haya bado yule hawala yake Sundi na akamuuzia nyumba ya serikali wakati hakuwa mwajiriwa wa serikali. Ufisadi wa Pombe upo wazi pamoja na vielelezo vyake. Ila kwa Lowasa its too general with a lots of speculations, no proof at all. Magufuli conviction mahakamani ipo wazi hata kwa mwanasheria anaanza kazi ya uwakili leo, hamna haja ya uzoefu.

sasa kama una ushahidi,unasubiri nini kuupeleka mahakamani badala ya kupoteza muda humu jf?
 
Na hawa type ya akina musa wapo wengi na ndo wanaoitetea ccm ibaki madarakani kwa udi na uvumba maana wanajua ikiondoka, uchunguzi ukifanyika patachimbika.
 
Kwa wagombea wa nafasi ya urais binafsi sioni anayefaa, Lowassa na Magufuli wote ni viraka tu. Sioni wa kumpa kura yangu.
 
"Anayemshabikia Lowassa akapimwe akili".

Mch. Peter Msigwa

Hivi kwanini Ukawa mnataka tutilie mashaka akili zenu!?
 
Mussa Magufuli ni mdogo wake na JP Magufuli ambaye aliuziwa nyumba ya serikali na kaka yake mwezi mmoja baada ya kumaliza chuo kikuu. Pia aliajiriwa na serikali akiwa bado hajahitimu chuo kikuu bila diploma wala certificate. Huyu ndio muadilifu mnayetaka apewe ikulu. Wananchi wanalala kwenye nyumba za tembe, polisi wanalala kwenye nyumba za suti. Wao wanagawana keki ya taifa. Huyu ndiye aliyesimamisha mradi wa barabara geita akaupindisha ili upite kijijini kwao. Huyu ndiye aliyeweka taa za barabaranj Chato jirani na baa yake. Mnamtaka ikuli
Source: Gazeti Rai Novemba 7, 2008
Very very cheap politics, huyo Mussa kwani si mtanzania? na je alipewa bure? na ke hizo nyumba Ilitakiwa auziwe nani kama baraza la mawaziri liliafiki ziuzwe? Kuna faida/ hasara gani imepatikana kwa hao watanzania kuuziwa hizo nyumba?
Hii karata yako wala haina mashiko, ungekuwa bize kujaribu kutengua shutuma za richmond, ungekuwa unamsaidia mgombea wako!
Very cheap politics you are trying to apply, it will NEVER work!
 
Unalipwa kiasi gani na lowasa umekurupuka huko kuja kupost pumba inamaana watu wote waliouziwa nyumba ni wadogo zake Mh rais magufuli au?

Za kuambiwa changanya na za kwako

We ndo punga kweli mtoa post kasema hayo uliyojiandikia au unaandka tu kuongezea vitu vinavyopingana na ukweli????
mtoa thread kasema mdogo mdogo wa jpm ww unasema wote walouziwa nan kasema hayo yako???
 
Very very cheap politics, huyo Mussa kwani si mtanzania? na je alipewa bure? na ke hizo nyumba Ilitakiwa auziwe nani kama baraza la mawaziri liliafiki ziuzwe? Kuna faida/ hasara gani imepatikana kwa hao watanzania kuuziwa hizo nyumba?
Hii karata yako wala haina mashiko, ungekuwa bize kujaribu kutengua shutuma za richmond, ungekuwa unamsaidia mgombea wako!
Very cheap politics you are trying to apply, it will NEVER work!

Bora ungekaa kimya kuliko kuandka pumba afu unaanza na kumaliza na kingereza utafikri mjuaji kweli hivi kna mali ya umma itauzwa bila masharti???
Mbna kila mwenye hela angeenda kununua!!! Kichwa kisichokuwa na akir ni mzigo kwa miguu
 
Very very cheap politics, huyo Mussa kwani si mtanzania? na je alipewa bure? na ke hizo nyumba Ilitakiwa auziwe nani kama baraza la mawaziri liliafiki ziuzwe? Kuna faida/ hasara gani imepatikana kwa hao watanzania kuuziwa hizo nyumba?
Hii karata yako wala haina mashiko, ungekuwa bize kujaribu kutengua shutuma za richmond, ungekuwa unamsaidia mgombea wako!
Very cheap politics you are trying to apply, it will NEVER work!
ina maana hujui maana ya sheria, kanuni na taratibu katika dhana ya utendaji? unakimbia kivuli chako au uelewa ndo mdogo? we pambana na hoja kama mdogo wake na hawara yake( kama ni kweli) walkuwa na haki hiyo. la, huko ni kutumia akili chini ya mstari mwekundu.
 
Yani kumbe faili la sundi na mussa aliyabeba kwapani kabisa. Magufuli kweli fisadi
 
Acheni zenu.. Mnataka mtu ambaye Ni fisadi apewe Nchi? Kamanda Wa Anga mbowe, Na wenzio mmetuaminisha miaka nenda rudi kuwa ENL Ni Fisadi, hafai kupewa nafasi ya kutuongoza iweje Leo mumkubali aingie madarakani? Tena kupitia Chama chetu tukufu?

Jamaa aliungamishwa ufisadi na makando mengine yote yaliisha na tumeyasahau kabisaaaaa.
 
Unalipwa kiasi gani na lowasa umekurupuka huko kuja kupost pumba inamaana watu wote waliouziwa nyumba ni wadogo zake Mh rais magufuli au?

Za kuambiwa changanya na za kwako

Acha sindano ziingie, vumilia tu.Dozi itakwisha karibuni.
 
Back
Top Bottom