Monitoring thread: John Pombe Magufuli katika Awamu ya Nne

Kwahiyo lowassa nae ni mdogo wake magufuli? Hii pumba hapa kazi tu.
 
Acheni zenu.. Mnataka mtu ambaye Ni fisadi apewe Nchi? Kamanda Wa Anga mbowe, Na wenzio mmetuaminisha miaka nenda rudi kuwa ENL Ni Fisadi, hafai kupewa nafasi ya kutuongoza iweje Leo mumkubali aingie madarakani? Tena kupitia Chama chetu tukufu?
 

sasa kama una ushahidi,unasubiri nini kuupeleka mahakamani badala ya kupoteza muda humu jf?
 
Na hawa type ya akina musa wapo wengi na ndo wanaoitetea ccm ibaki madarakani kwa udi na uvumba maana wanajua ikiondoka, uchunguzi ukifanyika patachimbika.
 
Kwa wagombea wa nafasi ya urais binafsi sioni anayefaa, Lowassa na Magufuli wote ni viraka tu. Sioni wa kumpa kura yangu.
 
"Anayemshabikia Lowassa akapimwe akili".

Mch. Peter Msigwa

Hivi kwanini Ukawa mnataka tutilie mashaka akili zenu!?
 
Very very cheap politics, huyo Mussa kwani si mtanzania? na je alipewa bure? na ke hizo nyumba Ilitakiwa auziwe nani kama baraza la mawaziri liliafiki ziuzwe? Kuna faida/ hasara gani imepatikana kwa hao watanzania kuuziwa hizo nyumba?
Hii karata yako wala haina mashiko, ungekuwa bize kujaribu kutengua shutuma za richmond, ungekuwa unamsaidia mgombea wako!
Very cheap politics you are trying to apply, it will NEVER work!
 
Unalipwa kiasi gani na lowasa umekurupuka huko kuja kupost pumba inamaana watu wote waliouziwa nyumba ni wadogo zake Mh rais magufuli au?

Za kuambiwa changanya na za kwako

We ndo punga kweli mtoa post kasema hayo uliyojiandikia au unaandka tu kuongezea vitu vinavyopingana na ukweli????
mtoa thread kasema mdogo mdogo wa jpm ww unasema wote walouziwa nan kasema hayo yako???
 

Bora ungekaa kimya kuliko kuandka pumba afu unaanza na kumaliza na kingereza utafikri mjuaji kweli hivi kna mali ya umma itauzwa bila masharti???
Mbna kila mwenye hela angeenda kununua!!! Kichwa kisichokuwa na akir ni mzigo kwa miguu
 
ina maana hujui maana ya sheria, kanuni na taratibu katika dhana ya utendaji? unakimbia kivuli chako au uelewa ndo mdogo? we pambana na hoja kama mdogo wake na hawara yake( kama ni kweli) walkuwa na haki hiyo. la, huko ni kutumia akili chini ya mstari mwekundu.
 
Yani kumbe faili la sundi na mussa aliyabeba kwapani kabisa. Magufuli kweli fisadi
 
Acheni zenu.. Mnataka mtu ambaye Ni fisadi apewe Nchi? Kamanda Wa Anga mbowe, Na wenzio mmetuaminisha miaka nenda rudi kuwa ENL Ni Fisadi, hafai kupewa nafasi ya kutuongoza iweje Leo mumkubali aingie madarakani? Tena kupitia Chama chetu tukufu?

Jamaa aliungamishwa ufisadi na makando mengine yote yaliisha na tumeyasahau kabisaaaaa.
 
Unalipwa kiasi gani na lowasa umekurupuka huko kuja kupost pumba inamaana watu wote waliouziwa nyumba ni wadogo zake Mh rais magufuli au?

Za kuambiwa changanya na za kwako

Acha sindano ziingie, vumilia tu.Dozi itakwisha karibuni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…