Dah ...Hamsha hamsha πUkiwa na maana gani mkuu maana viingreza hivi vipo vingi
Dah...Ni comvosation ..siyo conversation bana... Au kiingereza kinakupiga?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umemfungia alafu unaanza tena kumtafuta?Yaap, ila unaweza close conversation na yeye, nilishamfanyia hivyo, ila huwa analeta hamsha hamsha jukwaani