Monney Penn yupo wap

Monney Penn yupo wap

Njopino

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2014
Posts
3,468
Reaction score
5,060
Wasalaam wana chit chat wote
Namuulizia huyu mamake yupo wapi mana kimya sana almost week au week mbili hazijaonekana mbwembwe zake kwenye jukwaa. Kama mtu ana taarifa zake sio mbaya akatujuza mana tumekuwa kama ndugu hivyo mtu hakipotea gafra lazima tujiulize kulikoni kwa mwenzetu.
Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom