Yeye anataka kufanya biashara bila upinzani? bongo lala kichwa maji
I'm Businessman-sipendi kuona monopoly ktk kila sector ya biashara ambayo itanifanya niogope kuinvest. Now- monopoly ya Kanisa?
Kanisa sasa hivi limejiingiza ktk mpango maalum wa kufanya biashara ya elimu, umeme!! nk. Vyuo vya Kanisa St. vimejaa kibao!! Hivi tupo ktk karne ya 18?
Threat nyengine ya Kanisa kuwa ktk biashara-monopoly ni amani ya nchi. Hivi serikali inajua madhara ya Taifa lenye dini mbili (Islam and Christian) kubwa ktk nchi? Je Kanisa linajua madhara ya kuwa monopoly ktk kila sector?
Let's be honest- Tunaoimba serikali isimamishe mpango huu wa Expansion wa Kanisa- ni Tishio kwa amani ya nchi. Tunaomba serikali izuie mpango huu wa expansion. Madhara yake ni makubwa kuliko faida zake.

Tatizo siyo kufanya biashara bila ya mpinzani. Tatizo ni kwamba unashindana na mashirika ambayo hayalipi kodi; lakini yanafanya biashara kama mtu mwingine ambaye analipa kodi. Huoni kama hili tatizo? Unajua tatizo litakapotokea baadaya kama haya mashirika ya dini yatakuwa monopoly ktk sector? bila ya kulipa kodi?
Hii nchi ilijaribu Ujamaa na ulishindwa vibaya sana. Sasa kwanin tunarudi nyuma badala ya kwenda mbele? Huu mpango wa Kanisa kutoa huduma kwa wananchi ni kuwarudisha nyuma WTZ. Unawafanya WTZ kuwa wategemezi zaidi wa misaada. Taifa halijengwi kwa misingi hii.
Tatizo unaweza kuwa una point ila hutaki kutazama ukweli kwa kugeuza shilingi pande zote mbili
Ni sawa unajua mtoto wako shuleni ni mtoro. Yakija matokeo unamwambia kuwa unajua kafeli sababu shule uliyompeleka haina walimu wazuri. Hata kam ni kweli , huyo mtoto hata ukimpeleka shule gani atakuwa wa mwisho sababu umesha udhaifu wako wa kutetea uzembe wake..
Kama ni tishio la kanisa ni dogo , tishio kubwa zaidi ni incomptency ya Viongozi.
Tishio ni pale viongozi wanaposhiriki kuua shirika kama TANESCO.
Before pointing the fingure to the kanisa rusha mawe kwa rubani wa meli na watu wake. Alafu ndio tue kwa kanisa
aisee we ndo tikiti maji kweli kweli. waambieni waarabu hela wanazotoa kujengea madrassa wazielekeze kwenye elimu dunia, mtatoka tu. Yaani unataka wakristo wawe wanalala kanisani kungojea muda wa kusali sala ya malaika wa bwana? Tikiti maji mkubwa weeeeeee. na bado kuna mengi yanakuja, ushasikia mikopo ya kanisa kwa wanawake eeeeh, nyie endeleeni kuwafungia ndani hao wake zenu ndani kutwaaaaaa nzima
wewe si mfanyabiashara, kama unafanya biashara basi itakusumbua sanaI'm Businessman-sipendi kuona monopoly ktk kila sector ya biashara ambayo itanifanya niogope kuinvest. Now- monopoly ya Kanisa?
Kanisa sasa hivi limejiingiza ktk mpango maalum wa kufanya biashara ya elimu, umeme!! nk. Vyuo vya Kanisa St. vimejaa kibao!! Hivi tupo ktk karne ya 18?
Threat nyengine ya Kanisa kuwa ktk biashara-monopoly ni amani ya nchi. Hivi serikali inajua madhara ya Taifa lenye dini mbili (Islam and Christian) kubwa ktk nchi? Je Kanisa linajua madhara ya kuwa monopoly ktk kila sector?
Let's be honest- Tunaoimba serikali isimamishe mpango huu wa Expansion wa Kanisa- ni Tishio kwa amani ya nchi. Tunaomba serikali izuie mpango huu wa expansion. Madhara yake ni makubwa kuliko faida zake.
Wako kibiashara zaidi tofauti na uislamu pia waislam as individual ni wafanyabiashara kuliko christian as individual
wewe si mfanyabiashara, kama unafanya biashara basi itakusumbua sana
they say "keep an eye on the ball" na sio kuangalia mengine
afterall sioni wapi duniani biashara za watu wa dini zinakatazwa
Hawa wenzetu mimi nazani Serikali wakati mwingine iwape upendeleo maalumu kwasababu wao kama wao hawajiwezi, wee angalia wanavyolalamikia mifumo ya kiutawala, Baraza la mitihani kuwabana na mengineyo mengi, utadhani wote ni watotoWewe upo sawa kweli au ni kichaa ?kwahiyo huo umeme utawaka kwa Wacristo tu? .Na hospital mfano Kcmc au Bugando inatibu Wacristo tu? Wacheni wivu wa kike .