Monsinyo Gilbert Ndyamukama ateuliwa na Papa Francis kuwa Mratibu wa Kitengo cha Baraza la Kipapa la Uinjilishaji

Monsinyo Gilbert Ndyamukama ateuliwa na Papa Francis kuwa Mratibu wa Kitengo cha Baraza la Kipapa la Uinjilishaji

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,095
Reaction score
4,632
Jumanne tarehe 14 Januari 2025, Baba Mtakatifu Francisko amefanya teuzi mbali mbali katika ofisi za Curia Romana.

Kwa njia hiyo amemtetua, Mheshimwa, Monsinyo Gilbert Ndyamukama Gosbert, kuwa Mratibu ndani ya Kitengo cha Kwanza cha Uinjilishaji na Makanisa Maalum cha Baraza la Kipapa la Uinjilishaji, na ambaye hadi uteuzi huo, alikuwa ni afisa wa Taasisi hiyo ya(Curia Romana) inayojishughuliza na shughuli za umisionari Ulimwenguni kote.

Wasifu
Monsinyo Ndyamukama alizaliwa tarehe 23 Aprili 1977 huko Bukoba Tanzania.
 
Bado kijana mdogo sana, yaelekea ameanza shughuli za kanisa katoliki angali mdogo mpaka akafika huko juu
 
Back
Top Bottom