Tayari, chadema washafika kulaumu utawala. Dah!!!Kiongozi anayejielewa hawezi kupeleka jeshi lake congo kweye vita vya kijinga.
Vita vya kijinga ndio vinakuwaje? Ufafanuzi tafadhaliKiongozi anayejielewa hawezi kupeleka jeshi lake congo kweye vita vya kijinga.
Kaifuatilie vizuri historia ya Congo kwanzia mauaji ya Patrice Lumumba mpaka Leo ilipo na vita vya m23 ndio utaelewa vizuri.Vita vya kijinga ndio vinakuwaje? Ufafanuzi tafadhali
Through your quote I already know your an idiot person.Tayari, chadema washafika kulaumu utawala. Dah!!!
M23 ni wanaume kweli kweliBaada ya kuzuia matumizi ya anga kwa ndege za kijeshi za DRC, badae M23 ilisema hata UN hairuhusiwi kutumia uwanja huo wa Goma.
Taarifa ziliwafikia viongozi wa Umoja wa mataifa kwenye kikao cha dharula huko New York, na kutangaza kwamba wamezingilwa na uwanja hautumiki.
Uwanja huo uliopo mpakani mwa Rwanda na Congo. UN imeiomba Rwanda kupokea wanajeshi wake na vifaa vyao, na moja kwa moja wengi wao wakaanza kuelekea Rwanda, huku wakiacha SAMIDRC, Burundi, FARDC na Wazalendo nyuma.
Taarifa zinadai mpaka sasa, Afrika kusini imepoteza tena wanajeshi wengine, huku magari yao ya kivita yakiharibiwa vibaya na M23.
HahahaUkiandika taarifa kubwa kama hii weka na credible source achana na mambo ya 'taarifa zinasema'.
You are RightKaifuatilie vizuri historia ya Congo kwanzia mauaji ya Patrice Lumumba mpaka Leo ilipo na vita vya m23 ndio utaelewa vizuri.
Vipi kuhusu lsrael na Palestine vita vyao tutaviitaje? Majibu tafadhaliKaifuatilie vizuri historia ya Congo kwanzia mauaji ya Patrice Lumumba mpaka Leo ilipo na vita vya m23 ndio utaelewa vizuri.
I knew about your idiocy before you posted yours. Nyumbu mkubwa we!Through your quote I already know your an idiot person.
Hizi vita zote unazoziona hazipo hapo Kwa bahati mbaya hata kidogo, vita hizi zilipangwa na watu wenye nguvu kubwa duniani Kwa malengo wanayo taka wao, na wao pekee ndio wenye uwezo wa kuamua viishe au viendelee mpaka hapo jibu unalo.Vipi kuhusu lsrael na Palestine vita vyao tutaviitaje? Majibu tafadhali
Sawa gigy moneyI knew about your idiocy before you posted yours. Nyumbu mkubwa we!
🙏🙏Hizi vita zote unazoziona hazipo hapo Kwa bahati mbaya hata kidogo, vita hizi zilipangwa na watu wenye nguvu kubwa duniani Kwa malengo wanayo taka wao, na wao pekee ndio wenye uwezo wa kuamua viishe au viendelee mpaka hapo jibu unalo.