Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
Inadaiwa walipigana na producer. Hayo yamebainika Leo kupitia You Heard ya clouds FM na Sudi Brown.Na alitumia chupa kumpiga producer huyo.Aliambiwa ajiandae maana kesi ishafika polisi na producer kajiandaa kisheria haswaa.