Husninyo
JF-Expert Member
- Oct 24, 2010
- 23,851
- 9,472
Duh Husninyo...soda hio inanukia kikempiski?
we acha tu, hebu imagine kutoka kule kwetu hadi posta halafu usiku. Nilikuwa nikinywa soda ya madukani sisikii ladha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh Husninyo...soda hio inanukia kikempiski?
Nipe rushwa
chukua nyani, chukua ngabu... Chukua rushwa yote yako.
Mara nataka ice cream saa saba usiku...mara nakuchukia kama nini...mara hamtaki tv ili mradi vurugu tu..
je kuna namna gani ya kupunguza hormones hizo za hasira na kulialia pia
kuwachukia waliowadungua ?
mna visa nyie!
hebu wenye experience ya vituko hivyo tujuzane..
hata nyinyi akina Ashadii mtuambie mlikuwa mna vituko gani?wengine nasikia mwapenda harufu ya ferry na hamlali na wenzi wenu....
karibuni
Unataka koni?
hee! Wewe hebu tutoke kwenye hii thread ya inkos. Twende kuleeee.
Mwajuma kwa fiksi.....
Ila cku hzi wako tofauti,wengi wanasemaga eti wana hamu na bagger.
Shenzi type
Zizu unacho nini?
Kwa kweli hii imezidi fiksi, naomba mod ahaiamishie mtaa wa jokes.
hayajamkuta..mtu kusikia hamu ya ugali saa 12 asubuhi