mkuu hebu tafuta njia nzuri ya kumuintatain huyu last born ili akupen faragha na mkeo. kwani dada/kaka zake wanafanya nini? ama wewe cd umezoea za ngono tu za katuni hununui? acha hizo bana nunua dora the mermaids uone kama atanyanyuka kwenye kochi.
Kama kanasumbua sana home, mnatakiwa mtoke out na mkeo yapo siku za weekend mnachukua chumba hoteli siku nzima ya mashambulizi tuu.
Duuh mpeni calpol katalala chenyewe
sasa mkuu mbona hii ni rahisi ingia kwa rum wakati waena kulala waaga wanao waambie leo najiskia vibaya msinisumbue eeh! mwambie kaka mtu mwekeen katuni mtoto nataka nilale kidogo na sitak usumbufu swa eeh unamuaga kwa amani ila hakikisha mama anapoingia hakamuoni ukisha funga mlango kwisha abari yakeHehehe.. ni ka lasti boni.. alafu nikiwa home hakaniachia aisee.... kwa kweli kanatupenda sana.. hayo madume hayanashida hata nisiporudi hata hayaulizi ulikua wapi.. yenyewe DSTV ikiisha ndo utayasikia.
sasa mkuu mbona hii ni rahisi ingia kwa rum wakati waena kulala waaga wanao waambie leo najiskia vibaya msinisumbue eeh! mwambie kaka mtu mwekeen katuni mtoto nataka nilale kidogo na sitak usumbufu swa eeh unamuaga kwa amani ila hakikisha mama anapoingia hakamuoni ukisha funga mlango kwisha abari yake
dah sidhani kama yafaa kumwambia hivyo mtoto bora wampotezee kiaina tu hiyo ya pap an mom time imekaa kidhungu sanaKweli kwenda sweet escape ni sawa, kumnunulia mtoto educative cartoon ni sawa pia (hiyo ya kumpa capcol mmhh???) ila ushauri wangu huu hapa: fanyeni hivo kwa kujifurahisha au kwa kumfurahisha mtoto na sio kwa kumkimbia.
Msimkimbie mtoto, don't sedate her, msimpumbaze na ma-cartoon. kaeni nae chini mumweleze kua you need space. tell her that the world does not evolve around her and that sometimes there is family time, sometimes her mum or you have time just for her but sometimes you and her mum need your own time and she must not interfere with that time. Mnapoenda kujifungia mnamwambia kabisa good night, it's pap and mom time now. baadae mkiwa nae mnakumbushia kua you are having family time. Ni muhimu ajue kua kila mtu ana nafasi yake katika maisha yenu.
dah sidhani kama yafaa kumwambia hivyo mtoto bora wampotezee kiaina tu hiyo ya pap an mom time imekaa kidhungu sana
Haka ni kalasti boni kangu ka kike... basi huwa kila nikijifungia chumbani na wife kanakuja kanagonga mlango kwa nguvu huku kana shout moom..mooom r u okay. ?
Hehehe hapo nakua sina ujanja mzee mzima inabidi nitoke tu, naenda kujipooza na kesto barridiii.
Haka ni kalasti boni kangu ka kike... basi huwa kila nikijifungia chumbani na wife kanakuja kanagonga mlango kwa nguvu huku kana shout moom..mooom r u okay. ?
Hehehe hapo nakua sina ujanja mzee mzima inabidi nitoke tu, naenda kujipooza na kesto barridiii.