Mnyampaa
JF-Expert Member
- Jan 17, 2011
- 244
- 58
siku moja si nikambembeleza akalala. Tukiwa kwenye kamchezo ketu si kumbe kameamka kitambo kanacheki game. Asubuhi kanamwambia mamaake mommy we tabia mbaya....unasemaje....uchiku shi nlikuwa mmevua nguo na baba.... Kuanzia siku hiyo nilimwachisha kunyonya na kulala na dada tangu siku hiyo