Moom..moom.. r u okay?

siku moja si nikambembeleza akalala. Tukiwa kwenye kamchezo ketu si kumbe kameamka kitambo kanacheki game. Asubuhi kanamwambia mamaake mommy we tabia mbaya....unasemaje....uchiku shi nlikuwa mmevua nguo na baba.... Kuanzia siku hiyo nilimwachisha kunyonya na kulala na dada tangu siku hiyo
 
Ushauri wa Roulete unafaa, haudanganyi yet u don't go into details. Hii ndio imekuwa principal yangu, na watu wanaadmire confidence na uelewa wa mwanangu!
 
mmmh, mie kigori wacha nipite kimya kimya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…