STRUGGLE MAN
JF-Expert Member
- May 31, 2018
- 8,633
- 16,586
Hii ishu ni kama ile waliofanya Uengereza kuishikilia meli ya Iran thn siku chache Iran ikashikilia meli za Uengereza 2 [emoji23]Iran walikua sahih kwa sabab bila kufanya hivyo wasingefanikiwa lkn hata wamagharib wanatumiaga njia hii kushinikiza kulipwa kwa kutumia kigezo cha zuio kutoka mahkama zao.