STRUGGLE MAN JF-Expert Member Joined May 31, 2018 Posts 8,633 Reaction score 16,586 May 8, 2021 #21 Muuza viatu said: Iran walikua sahih kwa sabab bila kufanya hivyo wasingefanikiwa lkn hata wamagharib wanatumiaga njia hii kushinikiza kulipwa kwa kutumia kigezo cha zuio kutoka mahkama zao. Click to expand... Hii ishu ni kama ile waliofanya Uengereza kuishikilia meli ya Iran thn siku chache Iran ikashikilia meli za Uengereza 2 [emoji23]
Muuza viatu said: Iran walikua sahih kwa sabab bila kufanya hivyo wasingefanikiwa lkn hata wamagharib wanatumiaga njia hii kushinikiza kulipwa kwa kutumia kigezo cha zuio kutoka mahkama zao. Click to expand... Hii ishu ni kama ile waliofanya Uengereza kuishikilia meli ya Iran thn siku chache Iran ikashikilia meli za Uengereza 2 [emoji23]