Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 8,611
- 16,118
Hayawi hayawi hatimaye yamekuwa. Licha ya Harmonize kupitia changamoto nyingi hakika amefanikiwa kumrudisha Kajala kwenye himaya yake tena. Licha ya kukataliwa na kublokiwa kwenye mitandao ya kijamii hakika Harmonize aliendelea kumlilia Kajala Ili aweze kurudiana naye.
Ukiachilia mbali muda mwingi aliotumia Harmonize katika kuiteka Nafsi ya Kajala,pia ametumia gharama kubwa Sana ili kumuonyeshe Kajala Ni kiasi gani anavyompenda,kumthamini na kumhitaji.Jamaa alienda mbali zaidi akaamua kumtungia na nyimbo za Mtaje & You. Harmonize alikuwa anafanya haya yote kwa lengo la kumdhihirishia Kajala jinsi gani anavyompenda na kumhitaji.
Mambo aliyofanya Harmo Ni shughuli pevu Sana ambayo asilimia kubwa ya watu hasa vijana wa kiume wasingediriki kufanya kwani wengi huwa wanalichukulia hilo Kama ulimbukeni na kushindwa kujielewa.Hilo mi napingana nalo kbsa kwa sababu mtu anapohitaji kitu anatakiwa kuwekeza nguvu,akili na kila kitu na kutokukata tamaa licha ya kukumbana na changamoto mbali mbali Hadi pale atakapokipata.
Let's remember the story of persistent woman in the Bible.She didn't give up approaching the king untill the king decided to give in for her.Harmonize is now the proto- type of the persistent woman in the Bible.
He did anything at any cost just to restore Kajala in his life.
Ikija kwenye suala zima la mapenzi vijana wengi wa ckuiz huwaga wanafeli Sana.They're totally inpersistent.Yaani akitongoza mwanamke Mara Moja akamkatalia hata kishingo upande tu ndo Basi jamaa anasepa mazima ndo harudi Tena.
Yaani wavivu ajabu. Mwanaume hutakiwi kukata tamaa kirahisi rahisi hivyo jamani.Kama una lengo la kutimiza Jambo fulani maishani hakikisha unakomaa nalo mpaka pale utakapotusua. Haijalishi aina ya changamoto unazopitia ila hakikisha unapambana mpaka tone la mwisho la jasho Hadi ufaulu.
Binafsi niliwahi tumumia muda mrefu sana kutimiza Jambo fulani na nilihakikisha nimelifanikisha licha ya changamoto nyingi nilizopitia.So my dear comrades, we should always remain persistent & brave enough in chasing our dreams/ goals until we achieve them irregardless of the challenges we might be facing in the process.