Siwezi fanya huo unao onekana ujanja na kutuzidi kete, kuna mambo mengi sana ya kubembeleza na kurudia tena na tena mpaka upate ila si "mwanamke"
Huwa jibu la kwanza la mwanamke ni sahihi sana na halitakiwi kupuuzwa, wewe kataliwa halafu jitie bingwa wa ushawishi, Bahati nzuri mapenzi hu deal zaidi na hisia from inside zisizo weza kuwa fake.
atavutika na vipesa na muonekano na u star anao tegemea kuja upata,akishavipata vyote hivyo Moyo wake utakurudia muhusika, atajiuliza "hivi nakupenda kweli" moyo haudanganyi mzeee, lile jibu la kwanza linajirudia rudia...
The first Answer is the Right Answer, ukinikatalia leo never expect ntakubembeleza, nitakachoweza kufanya ni kuku onyesha namna ulibugi kunikataa, moja ktk regrets ntakazoweza kukupa ni kunikataa, na huwa sirudi nyuma.
Kubembelezana tutabembelezana home,huku nnje nikubembeleze kwa kipi hasa Tukubaliane kwanza "nakuhitaji,unanihitaji" sio tufanyane kama vile mimi ndio nakuhitaji sanaaaaa as if umekua VISA ya USA.
Hongera kwake Harmo kwa kupigania chaguo lake,hata kama wengine wataona alitumia nguvu nyingi kupata kisicho na thamani, ila thamani ya mwanamke yeyote ipo machoni mwa mwanaume anae iona na kuitambua,Kajala n wa harmo thamani yake anaijua harmo.
Ila hizi za kutusema eti tubembeleze,tujue kushawishi aseee ilikua ni enzi hizo,nimshawishi mteja anunue fake products za kichina jasho linitoke,nije tena jioni niombe appointment ya kwenda shawishi binadamu ingine,never.
Hunitaki Hunitaki kwisha,nikushawishi ili nigundue nini..