Moral Lesson kutoka kwa Harmonize

Moral Lesson kutoka kwa Harmonize

Ndio nimeskia hivyo . Hivi nyie wanaume mnapopoa sana jamaa au mnaona wivu anaenda kujimilikisha zigo lile hehee
Mie wala sidanganyi aisee jamaa anaenda kula vitamu..wee yule umuweke style ya mbuzi kagoma kwenda, ass dangling in mid air, u will just be praying that u manage to finish twenty strokes kabla hujamwaga ubongo🤣🤣🤣🤣
 
Mie wala sidanganyi aisee jamaa anaenda kula vitamu..wee yule umuweke style ya mbuzi kagoma kwenda, ass dangling in mid air, u will just be praying that u manage to finish twenty strokes kabla hujamwaga ubongo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Eeh mzee wa hizi kazi [emoji2] haya mpunguze makasiriko sasa.
 
U nailed it mate! It is unfathomable that a man so talented, so loaded will, with his conscious mind change his religion to just marry a woman who he can easily keep shagging without the need to change his religion
Sure comrade hii jamaa sijui ndio ushamba au nn, kakera sana japo watu watahisi tunawivu nae kisa hamo anamawe mengi
 
Sure comrade hii jamaa sijui ndio ushamba au nn, kakera sana japo watu watahisi tunawivu nae kisa hamo anamawe mengi
Sasa rafiki kila mtu si ana mipango yake mwisho wa siku maisha pia ni yake. Aachwe afanye analoona kwake ni sahihi.
 
Ndio nimeskia hivyo . Hivi nyie wanaume mnapopoa sana jamaa au mnaona wivu anaenda kujimilikisha zigo lile hehee
Mimi siku zote nimekua nikisema kwamba kati ya vitu vinavyonifurahisha hapa Tanzania ni jinsi wasanii wetu wakubwa wanavyopigana vikumbo kwa vibibi! Kwakweli nawapongeza mno mno kwa msimamo wao huo.

Can u imagine hali ingekuaje mitaani kama hawa wasanii wakubwa wangekuja kugombania vitoto vikali vya chuo na sisi walala hoi? Nani angeuweza huo ushindani? Sisi kajamba nani si ingebidi turudi kula mabeki tatu? Naomba wasanii muendelee na moyo huo huo wakula maajuza ili mtuache sisi tufaidi vitoto vikali huku mitaani, vikishazeeka tutawaachia.
 
Siwezi fanya huo unao onekana ujanja na kutuzidi kete, kuna mambo mengi sana ya kubembeleza na kurudia tena na tena mpaka upate ila si "mwanamke"

Huwa jibu la kwanza la mwanamke ni sahihi sana na halitakiwi kupuuzwa, wewe kataliwa halafu jitie bingwa wa ushawishi, Bahati nzuri mapenzi hu deal zaidi na hisia from inside zisizo weza kuwa fake.

atavutika na vipesa na muonekano na u star anao tegemea kuja upata,akishavipata vyote hivyo Moyo wake utakurudia muhusika, atajiuliza "hivi nakupenda kweli" moyo haudanganyi mzeee, lile jibu la kwanza linajirudia rudia...

The first Answer is the Right Answer, ukinikatalia leo never expect ntakubembeleza, nitakachoweza kufanya ni kuku onyesha namna ulibugi kunikataa, moja ktk regrets ntakazoweza kukupa ni kunikataa, na huwa sirudi nyuma.

Kubembelezana tutabembelezana home,huku nnje nikubembeleze kwa kipi hasa Tukubaliane kwanza "nakuhitaji,unanihitaji" sio tufanyane kama vile mimi ndio nakuhitaji sanaaaaa as if umekua VISA ya USA.

Hongera kwake Harmo kwa kupigania chaguo lake,hata kama wengine wataona alitumia nguvu nyingi kupata kisicho na thamani, ila thamani ya mwanamke yeyote ipo machoni mwa mwanaume anae iona na kuitambua,Kajala n wa harmo thamani yake anaijua harmo.

Ila hizi za kutusema eti tubembeleze,tujue kushawishi aseee ilikua ni enzi hizo,nimshawishi mteja anunue fake products za kichina jasho linitoke,nije tena jioni niombe appointment ya kwenda shawishi binadamu ingine,never.

Hunitaki Hunitaki kwisha,nikushawishi ili nigundue nini..
 
Unaijua kick au unaisikia?
Hamna ndoa wala kubadili dini.
Konde siyo lofa

One of the laws of power is’ court attention at all costs’

All publicity is good publicity.

So harmonize anaitumia hii law to the maximum. Ni moja ya mbinu alizoziiba wcb.
Sure?
 
Mimi siku zote nimekua nikisema kwamba kati ya vitu vinavyonifurahisha hapa Tanzania ni jinsi wasanii wetu wakubwa wanavyopigana vikumbo kwa vibibi! Kwakweli nawapongeza mno mno kwa msimamo wao huo.

Can u imagine hali ingekuaje mitaani kama hawa wasanii wakubwa wangekuja kugombania vitoto vikali vya chuo na sisi walala hoi? Nani angeuweza huo ushindani? Sisi kajamba nani si ingebidi turudi kula mabeki tatu? Naomba wasanii muendelee na moyo huo huo wakula maajuza ili mtuache sisi tufaidi vitoto vikali huku mitaani, vikishazeeka tutawaachia.
Good for you
 
Siwezi fanya huo unao onekana ujanja na kutuzidi kete, kuna mambo mengi sana ya kubembeleza na kurudia tena na tena mpaka upate ila si "mwanamke"

Huwa jibu la kwanza la mwanamke ni sahihi sana na halitakiwi kupuuzwa, wewe kataliwa halafu jitie bingwa wa ushawishi,
Safi
 
Hayawi hayawi hatimaye yamekuwa. Licha ya Harmonize kupitia changamoto nyingi hakika amefanikiwa kumrudisha Kajala kwenye himaya yake tena. Licha ya kukataliwa na kublokiwa kwenye mitandao ya kijamii hakika Harmonize aliendelea kumlilia Kajala Ili aweze kurudiana naye.
Kwa kufanikisha mbususu Africans are very fuckin smart and tactical. Ushauri na vijana kuwa the same principles used to get mbususu are also applied to anything in life. Sasa kwenye maisha mtu anakuja kujiliza huku na excuses kibao. Sasa uwe patient and persistence kwa mbususu kweli. Sasa iko ivi wakati unamlilia Kuna mtu anapelekewa yaani mpaka hotel inalipiwa akaambiwa njoo ule mbususu inadunda hapa Ina kiu na wewe.
Unadhani wao hawapendi ama hawana chaguo.
Ke anayekupenda hutumii nguvu na hauhongi hata siku moja otherwise uwe unafosi Kama said wa buswelu mwanza.

Yaani umeandika vizuri mno na Ushauri best yaani best of the best kwa kupata kila kitu. Like Thomas edson alifanya experiments almost 2999 bado taa hii unayotumia kuwala kwa umeme kuingalia mbususu uipendayo ilikuwa haijawaka.
Sasa like jaribio la 3000 ndio taa ikawaka na ndio Mana unafurahia kuila mbususu huku unaiona na sio gizani.

Cheers up ,big up niga let us invest in pussy, luxury and Music that's our talent in Trump voice.
Mana sie tunapari tukifanikisha mbususu
 
Chase your passion/dream/goal girls will chase you. Unadhani hata mke wa huyu jamaa hapa hapendwi kuliwa na Elon Musk ama Mo dewj yaani anajiona keki kuliwa na mtu mkubwa na sio wapaukaji Kama sie twatumia nguvu nyingi kuhonga.
Demu Kama umefanikiwa wanakutafuta mpaka unawachoka.
Nitapigania njia yeyote nipate hela na kufanikiwa LAKINI sio kufukuzia mwanamke, kwake hamo amewin lakini kwangu mie ni UJINGA na siwezi poteza muda kwa mambo kama hayo, we kapuku mwenzangu wa hapo Nyakanazi utaweza kuhonga mamilioni ya pesa ili kumpata mwanamke, Kajala kamkubalia jamaa coz jamaa kwenye gemu anakuja vyema bila kusahau material things jamaa kagharamia.

In a world where women outnumber men siwezi fanya huu upuuzi, wanawake ni wengi sana.
Il
 
Harmonize alitakiwa kumuoa PAULAAAA HUO NDIO UKWELI.
 
Core Competencies:
  • Professionalism: Shows pride in work and in achievements. Demonstrates professional competence and mastery of subject matter. Is conscientious and efficient in meeting commitments, observing deadlines and achieving results. Is motivated by professional rather than personal concerns. Shows persistence when faced with difficult problems or challenges. Remains calm in stressful situation

Hizi Ni criteria za kazi anavyotakiwa aji behave Sasa hii tunashindwa. Inatakiwa uwe calm during stressful situations hapa sie tunatoa povu na lugha chafu Ila kwa mbususu akikuvuruga Ni rahisi kuwa calm uka act gentleman.

Na wamesema uwe persistence kwa Tabia yako Ila huwa tunafeli hapa
Ingawa jamaa akashauri hapa kuwa tuwe ivyo.
Ina Mana strategy za ki win mbususu tunazo sema za maisha hatunazo tunataka tupewe ushauri na Msaada na connection ya kushikwa mkono.
Sasa kila kitu kipo Kama ivyo ivyo kuipata mbususu jamani
 
[emoji4][emoji4]
255768668927_status_818e26f18ac54eaeb58f5390350621b0.jpg
 
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 this is laughable. someone marrying damaged goods ndio waku mu admire??!!! kwa kweli sasa naanza kuamini bible, vibaya vitaonekana vizuri mbele ya macho ya mwanadamu.
😂😂😂😂mzabzab
 
Back
Top Bottom